Kuna watu wanadharau watu wa Arusha kwa kumuogopa huyo mtoto Ally Dangote

Bora angeendelea kukaa jela
Mahakama imemuachia kumbe
Wamempa passport ya kifo

Ova
Alikua ana maliza ugali wa magereza mboni km alikua ana nguvu za kuua na kuvunja na kuua kwanini hakupewa kazi za kukata magogo ya kuni za kupikia ugali na maharage ya jela maana jiko la jela huwahalizimwi, magereza ni shule kwanini walishindwa kumbadirisha wakamrudisha kwa hakimu na hakimu akaona hakuna ushahidi akawaachia wananchi waamue pamoja na polisi kifuatacho ni hicho tu na mara nyingi wanafanya hivyo ili warudishwe gerezani wakaendelee kula ugali wa bure huku mtaani waya mkali kule jela na magereza kula bure kulala bure kutwa wanacheza draft na kuvuta Sigara na Bangi tu (usiniulize vinafikaje)
 
kua na hofu au kuogopa, kunasaidi kujianada na kujiweka tayari kwa lolote.

sio kitu kibaya, uoga sio ujinga
Wiki iliyopita tulikuwa tunafundisha masuala ya situational awareness kama sehemu ya security training, tukaambiwa kuwa na hofu na kuchukua tahadhari ni mambo muhimu sana. Watu wengi wanaona taa nyekundu lakini wanapuuzia whishowe wanaumizwa.
 
somo zuri mno mmepata hopefully, wengine huona kawaida sana but for sure ni muhimu sana
 
Utasikia ' aisee charii angu twende tukalale dangote atakuja hapo ni saa kumi na moja jioni"😂😂😂ila hizi kesi naelewa sana zinavyokua hapo ni kujuana tu na sidhani kama ni Arusha nzima ni kakitongoji tu ndio alikashika mtoto mzuri laini laini kabisa yule?
Mm naishi Arusha lakini hizo habari ndo nimezisikia baada ya huyo dg kuuawa. In short huyo dg alikua ni kibaka wa huko mtaani kwao
 
Utasikia ' aisee charii angu twende tukalale dangote atakuja hapo ni saa kumi na moja jioni"ila hizi kesi naelewa sana zinavyokua hapo ni kujuana tu na sidhani kama ni Arusha nzima ni kakitongoji tu ndio alikashika mtoto mzuri laini laini kabisa yule?
Uyo dogo angekuja kigamboni asingetoboa mtoto mdogo sana
 
Hata sisi wa Daslaamu msitudharau tunapowakimbia panya road.

Roho haina spare.
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
 
sawa sawa komandoo kitengo cha habari & mchanganyiko katika jeshi la Jamiiforums
Mkuu nani alikuaminisha kuwa watu wa Arusha ni wakakamavu? Nimekaa Arusha, ila nilichojifunza watu wa Arusha ni Wazaramo tu waliochangamka mdomoni lakini kwenye action ni Zuchu tu.
Wanaongea kukuchekecha tu ila ukikaza unakalisha hata kijiwe kizima, ni wataalamu sana wa kutingisha kiberiti ila hawana maajabu.
Kuna mmoja alijikuta mwamba nikamwambia tuweke mtu bee, alivyokunja ngumi nikajua hapa nimekutana na Beyonce tu. Sikupiga ngumi maana nilijua sio size yake nikamtandika makofi tu heshima ikawepo na Bro za kutosha kuanzia siku hiyo

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kama Arusha tu wamewasumbua sijui wangekuja daslam wangewafanya nini sijui tu yani
 
Sisi binadamu tunatofautiana ule moyo wa kufanya maamuzi mabaya au mazuri, kuna watu wanaona watu wote wa arusha ni viande kwasababu ya kuendeshwa na huyo mtoto wa miaka 19.

Kuna kitu nataka kusema hapa, kwanza mimi sio mkazi wa Arusha ila mtu akiamua kufanya mambo mabaya akabadilika mpka roho yake muogope sana.

Iliwahi kutokea Mwanza miaka iliyopita kulikuwa na makundi mengi sana ya kihuni, kuna ndugu wawili mapacha Kulwa na Doto waliwahi kamata Mwanza hasa maeneo ya Mabatini. Hawa kukuua ilikuwa ni jambo la dk chache tu kama utaingia anga zao.

Niliwahi shuhudia mtu kwa macho mtu akichomwa kisu cha shingo mchana kweupe.

Acheni kudharau na kuwaona hao watu wa Arusha walishindwa kumdhibiti Dangote, mtu akishafikia hatua ya kuweza kumuua mtu na akaendelea kuishi maeneo hayo unafikiri roho yake ni ya kawaida? Anaweza kuwa mtoto lkn roho yake ni tofauti kabisa.

Kwa waliowahi kuishi Mwanza Mjini Mabatini, Sahara, mitaa ya Uswahilini kama uhuru miaka kuanzia 2009 mpaka 2014 watakuwa wanaelewa naongea nini.
Hujasema hao Kulwa na Dotto waliishia wapi?
 
Kama Arusha tu wamewasumbua sijui wangekuja daslam wangewafanya nini sijui tu yani
Kuna dogo anasumbua hapo Mbagala anaitwa Rizi One anatabia za ki Ally Bangote 🤪 kasharipotiwa anasakwa yeye anabaka wasichana wanawake mpaka wabibi anapora anakaba Ila hajafanikiwa kuua
 
Back
Top Bottom