Kuna watu wanadharau watu wa Arusha kwa kumuogopa huyo mtoto Ally Dangote

Arusha watoto wenye umri mdogo ndio wanafanya matukio mabaya sana na ni majasiri kweli ukionyeshwa unaweza kukataa ila ukiwepo sehemu ya tukio utashangaa na wanavyokimbia na boda boda zao ni balaa..
 
Labda raia walichelewa kupeleka taarifa tu,,,ila POLISI wakiamua kumkamata huyo dogo hata masaa 24 asingefikisha angekamatwa..SERIKALI INA MKONO MREFU SANAA
 
Mboni Rizi One wa Mbagala Kata ya Kibondemaji anawapigusha chafya au Mbagala ipo wilaya gani sio kigamboni?
Kigamboni kuna miamba yake kule msala aliebakia ni AFANDE KHAMIS kaua wengi sana masela akikukamata ni one man anakupeleka unasalimia masikani zote anakumaliza uyo dogo alikuwa anapotea mapema sana tu
 
Na kigamboni huko nyie hampigi
Nyie huko mkikamata mnamchekecha
Mwili mzima mkimaliza mna mpa maji
Mnamwambia nenda
Lazima akafie mbeli

Ova
Au chuma kabisa sikuizi kumepoa ila ndiyo lilikuwa eneo hatari sana jifanye mjanja umuone tozy umvage kumbe COMMANDO MARRINE FORCE utajuta kuna muhuni alikavagaa kashikaji kembamba na ndevu alijuta kumbe ka commando bhana anakaonaga LONGONI tu anajua kasimamia pool table alijuta
 
Acha utani usije kufananisha hako kajamaa hata mwili hakana ni katoto kabisa....Unawajua panya roas wanakuja shazi yaani kama 30 hivi na hawaulizi sasa hao machalii wako na nguo zao za mtumba wanapiga domo kuwachukulia panyroad poa .


Sasa hapo kajamaa tena ni msambaa wa huko Tanga ndio anawatoa nya wanalazwa kama mbuzi .
 
Huyo wasengemuuwa,wange mtoboa macho yote mawili kama yule Kibaka wa Kigamboni zamani,siku hizi kawa ombaomba kwenye Pantoni na fimbo.yake ya upofu!!
Kumbe yule omba omba alikuwa kibaka?
 
Hujasema hao Kulwa na Dotto waliishia wapi?
Kulwa alifariki ila dotto yupo alibadilika na kuacha mambo hayo baada kukaa butimba muda mrefu.

Kifo cha huyo kulwa alipigwa mshale walikua wanagombna na kundi lingine wakapigiwa yowe wana kijiji wakatoka na zana akapigwa mshale
 
Umeandika sana lkn ukweli lazima usemwe,watu wa chuga mmefeli.Haiwezekani kitoto cha miaka 19 kisumbue hivyo,sasa mabhangi mnayovuta ni ya Kazi gani?,Na tunawashangaa kwasababu Arusha mnajiitaga Wajanja.Full kuvaa mishati mirefu na viatu vya ajabu lkn mmechuchumaishwa na dogo Dangote.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Me sio mtu wa arusha mkuu ila nachokiongelea hapa ni kwamba msiwaone hao watu wote ni wajinga, mtu akishakua na roho kuweza kuuwa mtu basi sio mtu wa kawaida.

Huyo dogo zoom picha yake angalia huo mkono wake huyo ni mtoto umri ila ni jambazi
 
Back
Top Bottom