Kuna watu wana hela jamani!!

Mkuu BORA kupanga?? yani kwenye kupanga na kuwa na nyumba yako Uafadhali kwenye kupanga unakujaje?
 
Nimeonyesha screenshot za tangazo tu..
Yap ni tangazo kwenye page yake
Sio mie
Unatumia MasterCard,visa,nettlller,Bitcoin,PayPal,thrller, crytcrrnc n.k nikutumie ukae katika mjengo sipend watoto warembo wapate tabu kabisa mana Mungu hakutaka wapate tabu Wala kula kwa jasho
 
Hiyo ghorofa ina vyumba vingapi? Maana tunaweza kuoiga hesabu tukagundua ni cheap kuliko hotel


Mfano kama ina vyumba 6... wakija wageni maana yake kila mmoja atalipa 50,000 per day
 
Ahsante
 
Wajenge sasa ya kwao hapo wananufaisha mtu tuu
 
Sawa tupo watu wa vipato tofauti levo tofauti
Lakini kama mlalahoi hiyo hela nkiifikiria nawaza sana..mil 54 si tayari nna nyumba mbezi now!
Inauma mkuu
Milioni 54 nyumba mbezi ipi? Labda Bunyokwa huko Mabondeni😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…