Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Aliyetajwa na Magufuli, wenzake waachiwa huru - MwananchiYupo nyuma ya Nondo plus yule Mkurugenzi wa VIP engineering bila kumsahau yule Boss wa TFF
Hizo stori wanapigiana na ex housegirl wao..hahahaaSasa hii chai mkuu.
Trust me yule bado yuko detained.Aliyetajwa na Magufuli, wenzake waachiwa huru - Mwananchi
https://mobile.mwananchi.co.tz › Habari
Jamaa anasimulia kama yeye ndio housegirl wa huyo kibopa.Hizo stori wanapigiana na ex housegirl wao..hahahaa
Kwahiyo mwananch walidanganya?Trust me yule bado yuko detained.
Humu ni fake IDs ngoja niishie hapa.
Magufuli usimchukulie poa hana mchezo.
Ndugu yangu hawezi kuwa na maisha hayo akose solar au standby generator. Gari kukwama katika matope ni hadithi za abunuasi kwani wana barabara yao peke yao? Kulipa umeme laki 4 ni kawaida kama unatumia let say washing machines etc. kuwa na mamaids inategemea na kazi hapo nyumbani ingawa karaha ya kuwa na maids zaidi ya mmoja nyumbani ni karaha hujapata Ona. Lakini hiyo isikusutue wengine wana hela chafu ndo tunaowasikia kisutu kila marayani kuna nyumba unatamani kuwa hata house boy kwa jinsi vyuma vilivyokaza...Huyo mke wake juzi kati gari yake imekwama kwenye matope Akashuka akatoa Pochi akalock gari akaliacha pale pale akarudi nyumbani...
Mume wake kurudi kuambiwa ALIMCHEKA MKE WAKE MPAKA kakaachini.. kesho yake asubuhi Gari ikaenda kusukumwa na vijana wa nne Wakaachiwa LAKI eti kuitoa tu pale,imagine!
Tanesco waliwahi kukata umeme kukawa na Mgao ule mtaaa...BABA alichukua watoto wake wote..dada wa kazi wa watoto Akaenda Hotelini kukaa na watoto wake mpaka umeme utakaporudishwa nyumbani..Unaambiwa ile nyumba bila A/C haikaliki.
Baba akirudi akisema washeni A/C mkamwambia umeme hamna...mtamuona huyoooo anabeba nguo anaaga anaenda hotelini Anawambia ukirudi umeme wenu mtaniita.
Akikaa huko siku mbili mfululizo umeme haujarudi siku ya tatu anarudikuchukua watoto wake na dada wa watoto anawapeleka hotelini....
Watu wanaishi hii TANZANIA etiii..tuacheni tu...nyumba matumizi ya umeme ni almost kila mwezi umeme wa LAKI 3 to 4...na wala haimsumbui mtu akili..wana amani BABA Ana amani,mama ana amani Raha full time
Hakuna kitu kama hicho.Kwahiyo mwananch walidanganya?
Duh..mfanya biashara ni BABA na hatujui biashara yake...MAMA amenyimwa kufanya kazi yeye apeleke watoto shule akazurure anakojua arudi nyumbani kulala.
hayo maswali nimejiuliza mimi kabla ya wewe...ila swali langu la kwanza nili muuliza dada alokua ananisimulia KWANINI WAMEPANGALILE GHOROFA WAMEPANGA NA WALA SIO LAO...HELA walizonazo wana uwezo wakununua nyumba kali na ikawa YAO ila Mshua yule KAPANGA na haoni shida...kodi analipa na haimsumbui kichwa.Ndugu yangu hawezi kuwa na maisha hayo akose solar au standby generator. Gari kukwama katika matope ni hadithi za abunuasi kwani wana barabara yao peke yao? Kulipa umeme laki 4 ni kawaida kama unatumia let say washing machines etc. kuwa na mamaids inategemea na kazi hapo nyumbani ingawa karaha ya kuwa na maids zaidi ya mmoja nyumbani ni karaha hujapata Ona. Lakini hiyo isikusutue wengine wana hela chafu ndo tunaowasikia kisutu kila mara
HA HA HANjia nyepesi ya kujitukana ni kujifananisha na watu wengine.
Fanya kazi hakuna kisichowezekana300,000 kwa siku..yani unaamka asubuhi ukirudi kulaza kichwa laki tatu imetoka kwa mwenye mjengoo!
Walalahoi sie ni Kodi ya miezi sita geto la elfu hamsini. .tena tunawaza kodi ikiisha tutapata kweli?
Ni apartment au chumba unachozungumzia?Alkua hajazaliwa
Saa hivi nakaa apartment ef tano kwa wiki kwa mwez ef 20 ....
Wanawake Mungu anawaona
My dear sisi tunajibanza tu usiku upite, wenzetu ndio wanaishi.😂Tunao ishi nyumba mbavu za mbwa ngoja tuwe wasoma comment
Hahahaa..Ni apartment au chumba unachozungumzia?
Hiyo bei ni very cheap, hebu fikiria wageni 15 kutoka nje ya nchi mfano watalii au watu wanahudhuria mkutano maalum wa kimataifa, wakifikia hapo kila mmoja atatoa 20,000/= kwa siku, kama wakiwa 20 kila mmoja atatoa 15,000/= kitu ambacho ni cheap sana. Usifikirie kupanga kwa mwezi, ndo maana dalali kasema malipo ni kwa siku300,000 kwa siku..yani unaamka asubuhi ukirudi kulaza kichwa laki tatu imetoka kwa mwenye mjengoo!
Walalahoi sie ni Kodi ya miezi sita geto la elfu hamsini. .tena tunawaza kodi ikiisha tutapata kweli?
Napiga mahesabu
300,000*30 days=9,000,000
Sasa Fanya kwa miezi 6
6*9,000,000=54,000,000! Kwa miezi sita!
Kweli kuna watu wanaishi!
View attachment 1104771View attachment 1104772View attachment 1104773View attachment 1104776View attachment 1104777View attachment 1104778
Kwa mtu mwenye nazo ni bora kupanga kuliko kuwa na nyumba yako. Ni pasua kichwa sana, inaweza kuwa ni rahisi kupanga kuliko kumiliki nyumba yako! Nilikuwa natafakari mfano waziri mwanamama mwenye mtoto mdogo kama angela kairuki, je ana wadada wa kazi minimum wangapi ili na majukumu yake ya kiuwaziri yaende. Si chini ya 3. Mmoja kwa ajili ya kichanga, mwingine kupika na kufanya usafi. Kikubwa tujitahidi kuzitafuta pesa wakati Tukibana matumizi ili siku za usoni tuondokane na janga hili la umaskini uliokithiri.hayo maswali nimejiuliza mimi kabla ya wewe...ila swali langu la kwanza nili muuliza dada alokua ananisimulia KWANINI WAMEPANGALILE GHOROFA WAMEPANGA NA WALA SIO LAO...HELA walizonazo wana uwezo wakununua nyumba kali na ikawa YAO ila Mshua yule KAPANGA na haoni shida...kodi analipa na haimsumbui kichwa.
Huko kwenye solar Generator ni mbali sana Tuanzie tu na hapo anapokaaa kwanini APANGE?