Kuna wanawake usiwadanganye utajuta kukutana nao!

Kuna wanawake usiwadanganye utajuta kukutana nao!

Hahahahaha,pole.Napata picha masaa mawili anagonga dirisha.
 
@preta sijakutana naye barabarani ujue[emoji3]
Kweli mkuu hujakutana naye barabarani maana hiyo sehemu uliyotaja huwezi kujua bila kuwa na experience za kufika huko
 
hao vijisichana vinapatikana huko kwenu tuuu, wa namna hiyo huku kwetu wamekufa
huku wapo tena jirani yangu anamsumbua mkaka wawatu naye nijirani ila amemla siku moja akamtema akawa analeta wasichana wengine .
ila nimekuja kujua mwanaume au mwanamke usimng'ang'anie kwaamaana yupo wako mahali akitokea maisha bwerere raha rahami kupendana nawewe ?
 
Mwambie
 
Mademu wabaya ndio Ving'ang'anizi wa dizaini hii, Muache tafuta kisu kikali zaidi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom