Kuna wanawake usiwadanganye utajuta kukutana nao!

Kuna wanawake usiwadanganye utajuta kukutana nao!

Baadaye amebaki analialia tu.

Wakuu siyo kila mwanamke wa kumtongoza.
Nashukuru Mungu kutua huu mzigo
Kila Mwanamke asiye ndugu unaweza tongoza.
Si kila unayelala naye unaisimamia vidole papuchi yake!..
Mingine piga kizembe acha ikudharau.
 
Kila Mwanamke asiye ndugu unaweza tongoza.
Si kila unayelala naye unaisimamia vidole papuchi yake!..
Mingine piga kizembe acha ikudharau.
Ili jina la wick napata tabu kulizoea
 
Mi pia iliwahi nikuta hiyo, nilitongoza demu fulani kwa kumtamani tu nile nisepe, yule demu alikuwa haachiki mpaka nilikonda, ilifika mahali nisipopokea simu yake anakuja mpaka kazini kwangu kunicheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom