Kuna wanawake usiwadanganye utajuta kukutana nao!

Kuna wanawake usiwadanganye utajuta kukutana nao!

Mkuu wewe angalia nilie mqoety mimi ndio naomba nitajiwe wewe waingize tu kwenye getto lako sisi vipato vyetu haviruhu na kupeleka getto hatuwezi ngoja mdau aje anitajie niwe naenda kupooza wewe hujaambiwa unde hiyo Hotel
Kibodya hotel ipo Posta karibu na mnara wa saa bei 25 au 20. Password hotel ipo magomeni 20, Spring Grand Palm ubungo nyuma ya njia TBL na Mwika hotel Sinza bei 30.

Zaidi uwe unatembelea Hotel in Dar es salaam au Trip Advisor ili uone hotel zaidi na kuna punguzo na ofa katika vipindi tofauti.
 
Kibodya hotel ipo Posta karibu na mnara wa saa bei 25 au 20. Password hotel ipo magomeni 20, Spring Grand Palm ubungo nyuma ya njia TBL na Mwika hotel Sinza bei 30.

Zaidi uwe unatembelea Hotel in Dar es salaam au Trip Advisor ili uone hotel zaidi na kuna punguzo na ofa katika vipindi tofauti.
Haina hadhi,bei ya chumba sawa na bei ya winegg
 
Si kila mwanamke unadanganya au unaingia kichwa kichwa hasa pale unapokuwa na girlfriend au mke.

Wengine wanakupa mzigo makusudi baada ya kula mzigo hivo vitimbwi utajuta.

Kwanza kumpata huyu mchepuko ilikuwa kazi,alikuwa anakuja gheto usiku mzigo sigusi siku nne mfululizo na kubaka sitaki bila ridhaa ya mtu,siku ya tano asubuhi alipoondoka nikampigia simu nikamwambia nina mchumba wa kudumu naomba usije tena.
Si nishaona mzigo sipati nani wa kulala na bonge la toto siku nne hugusi mzigo.


Akapiga simu "nakuja usiku tuongee",alipoingia tu alikuja na kipochi chake size ya kati,nikahisi hapa kabeba vinguo,akaenda bafuni akaoga,alipomaliza akapanda kitandani akaniambia nina hamu tufanye,kwa vile nishaamua simtaki na kwa mda huo nishajua madhaifu yake nilikataa kulala naye,aiseee akasema lazima unifanye ni haki yangu kama mwanamke,nikajiuliza haki gani wakati siku nne ulininyima.

Kosa nililofanya huo usiku baada ya kusumbuliwa sana nikala mzigo kwa hasira.Kumbe ndo nimekata ticket ya mgogoro.

Asubuhi alipoamka akafua pants zake akazianika bafuni halafu akaondoka.Jioni ananipigia simu,"upo home "? Nikamwambia nipo ila usije "akasema lazima nije nataka nichukue panties zangu"

Nikaziweka kwenye mfuko nikamwambia bodaboda ampelekee.

Kesho yake nikamdanganya, my girl kaja,anapiga simu nikamwambia leo nipo na mke usije na usipige simu.

Kwa vile nyumba mbele ina geti akazungukia nyuma ya nyumba akaanza kugonga dirisha.

"Fungua mlango mpenzi leo nina ham sana nimemiss *oo wako".Anapiga simu sipokei kakaa hapo kugonga dirisha kwa masaa mawili mara alie,baada akaondoka.

Kweli ningekuwa na my baby girl ndani ingekuwaje,au kama wife ndo yupo ndani.

Asubuhi kaja na polisi akidai nimempa mimba halafu nimemwacha.

Tumeenda kituoni nikawaambia naomba tuende hospital tupime kama ana mimba,wakati najua nimekula siku moja tena kwa zana.Akagoma


Baadaye amebaki analialia tu.

Wakuu siyo kila mwanamke wa kumtongoza.
Nashukuru Mungu kutua huu mzigo
dhuu asee yani istor kama yangu sema mimi hakwenda polis
 
Duh,huyo kibiko,wacha nisikilize tu Omunye tu asbhi hii inanipa mzuka wakupata hela
 
Pole mkuu ndio ujifunze kutokana na makosa siku nyingine usirudie tena.
 
Juzi kuna msela alitaka kumtia adabu demu wake, akampigisha mtungo wanaume 6 wakala papuchi. Kademu kimetuliaa kinagegedwa kumaliza wale wanaume 6 mdada anauliza ndio mshamaliza?. Hakuna mwengine manake hamu bado ninayo, aiseee😵 alitolewa ndukii kudadeki zake.
🙁🙁🙁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom