Ndo dawa yenu,, wanaume wenyewe kuwapata sabu kweli siku hzi,,
Mimi niliwahi kukunjwa shati.Si kila mwanamke unadanganya au unaingia kichwa kichwa hasa pale unapokuwa na girlfriend au mke.
Wengine wanakupa mzigo makusudi baada ya kula mzigo hivo vitimbwi utajuta.
Kwanza kumpata huyu mchepuko ilikuwa kazi,alikuwa anakuja gheto usiku mzigo sigusi siku nne mfululizo na kubaka sitaki bila ridhaa ya mtu,siku ya tano asubuhi alipoondoka nikampigia simu nikamwambia nina mchumba wa kudumu naomba usije tena.
Si nishaona mzigo sipati nani wa kulala na bonge la toto siku nne hugusi mzigo.
Akapiga simu "nakuja usiku tuongee",alipoingia tu alikuja na kipochi chake size ya kati,nikahisi hapa kabeba vinguo,akaenda bafuni akaoga,alipomaliza akapanda kitandani akaniambia nina hamu tufanye,kwa vile nishaamua simtaki na kwa mda huo nishajua madhaifu yake nilikataa kulala naye,aiseee akasema lazima unifanye ni haki yangu kama mwanamke,nikajiuliza haki gani wakati siku nne ulininyima.
Kosa nililofanya huo usiku baada ya kusumbuliwa sana nikala mzigo kwa hasira.Kumbe ndo nimekata ticket ya mgogoro.
Asubuhi alipoamka akafua pants zake akazianika bafuni halafu akaondoka.Jioni ananipigia simu,"upo home "? Nikamwambia nipo ila usije "akasema lazima nije nataka nichukue panties zangu"
Nikaziweka kwenye mfuko nikamwambia bodaboda ampelekee.
Kesho yake nikamdanganya, my girl kaja,anapiga simu nikamwambia leo nipo na mke usije na usipige simu.
Kwa vile nyumba mbele ina geti akazungukia nyuma ya nyumba akaanza kugonga dirisha.
"Fungua mlango mpenzi leo nina ham sana nimemiss *oo wako".Anapiga simu sipokei kakaa hapo kugonga dirisha kwa masaa mawili mara alie,baada akaondoka.
Kweli ningekuwa na my baby girl ndani ingekuwaje,au kama wife ndo yupo ndani.
Asubuhi kaja na polisi akidai nimempa mimba halafu nimemwacha.
Tumeenda kituoni nikawaambia naomba tuende hospital tupime kama ana mimba,wakati najua nimekula siku moja tena kwa zana.Akagoma
Baadaye amebaki analialia tu.
Wakuu siyo kila mwanamke wa kumtongoza.
Nashukuru Mungu kutua huu mzigo
Tunakomaaa mpaka ndoa,,hata mahali ntajilipia,,hahaaaHaachwi mtuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu nililala naye kitanda kimoja siku nne namvumilia kumheshimu ili anione I'm real and smart.Kwa vile simjui pamoja na kuninyima nilishajua madhaifu yake na kujua hafai....unamwambia mtu sikupendi niache huo usiku wa manane anakuambia lazima unipe ni haki yangu,wakati nahitaji siku nne zote hajanipa,namwambia ulipokuwa hufeel kufanya nilikuheshimu,niheshimu pia sitaki kusex na ww,lol anakuambia lazima unifanye,mind yake alikuja kuweka tunapofanya labda simwachiHuyo chizi wallah. Sema kuna drama natamanigi kuzifanya kama hizo za kusumbuana na bf nione.
Ila pia ukome,halafu ndo nimejua leo kumbe kukimbia mimba ni kosa la jinai,adhabu inaweza kuwa nini jamani?
Hata huyu mkuu,nilimpeleka sehemu classic utulivu bia 6000/=Mimi niliwahi kukunjwa shati.
Mkuu nilimwona mstaarabu na urembo wake kumbe tofauti kabisa,mi mwenyewe nilihisi ananipima nikasema ngoja niwe smart kwanza kumbe mtu mwenyewe wa hovyo
Mkuu ukimgusa mtu anagomba unaona ni ugomvi na kesho anakuja ikifika mida hivo hivo haguswi,ungefanyajemkuu uko vizuri kweli? siku nne demu unayemtamani analala kwako hugusi........kweli kabisa.....ungempigia kuchu live akwende zake siku ya kwanza tuuuu......siku 4.....!!!!!!!
Mkuu hii situngi imetokea jana,uzuri tumeelewana mbele ya mashahidi asirudi,unajua Jamii inapokuelewa pia wanajua unajiheshimu ila kuna mazingira ya kuchafuliwaHii ni ya kweli wala si kutunga. Haya mambo yapo sana. Niliwahi kumkimbia na kumwachia mlinzi wangu amsachi na kumtoa nje ya geti. Alirusha mawe kwa roof ili majirani waniletee noma lkn yakapita. Nikajuta kumfahamu. Alikuwa kisu balaa lkn tabia mbaya
unampigia nyeto,,,,,unammwagia maniii shwaaaaaa.....aende kwao.....una roho laini kama material ya net blaza....Mkuu ukimgusa mtu anagomba unaona ni ugomvi na kesho anakuja ikifika mida hivo hivo haguswi,ungefanyaje
[emoji23]hao vijisichana vinapatikana huko kwenu tuuu, wa namna hiyo huku kwetu wamekufa