Unajua huyu nilimgundua yupo after something,alikataa na matusi,unafeel mtu hakupendi kisa huna mafanikio kivile,siku mbili alipofika gheto room haina carpet,bado sijaweka toilet ya kuflash,hakuna jiko la umeme,friji,rice cooker,ving'amuzi.Kumbe ndo nimehama hata vitu vyangu sijabeba,madharau mengi,nilipohamia mazima yaani kuona vingi vimekamilika gafla akaona kuachana haiwezekani,wanaume tunawaza pia reaction ya mwanamke ukiwa kwenye hali flani na madharau yapoje na ukiwa namna flani why aone gharama kuachwa?