Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,330
- 72,613
HONGERA
Mkuu acha tu,nimetua mzigo
Mkuu acha tu,nimetua mzigo
We alileta defender,ila huo usiku nilitumia zana,tulipofika kituoni nikasema twende tukapime,aisee bila hivo na uwoga ningekubali tukae tena nimpe mimba halafu ndo kapata mwanyaIla pia ukome,halafu ndo nimejua leo kumbe kukimbia mimba ni kosa la jinai,adhabu inaweza kuwa nini jamani?
Kitu ambacho sijaelewa hapo ni nyumbani kwako (residence) au ni guest house? Nimeshindwa kukuelewa.Si kila mwanamke unadanganya au unaingia kichwa kichwa hasa pale unapokuwa na girlfriend au mke.
Wengine wanakupa mzigo makusudi baada ya kula mzigo hivo vitimbwi utajuta.
Kwanza kumpata huyu mchepuko ilikuwa kazi,alikuwa anakuja gheto usiku mzigo sigusi siku nne mfululizo na kubaka sitaki bila ridhaa ya mtu,siku ya tano asubuhi alipoondoka nikampigia simu nikamwambia nina mchumba wa kudumu naomba usije tena.
Si nishaona mzigo sipati nani wa kulala na bonge la toto siku nne hugusi mzigo.
Akapiga simu "nakuja usiku tuongee",alipoingia tu alikuja na kipochi chake size ya kati,nikahisi hapa kabeba vinguo,akaenda bafuni akaoga,alipomaliza akapanda kitandani akaniambia nina hamu tufanye,kwa vile nishaamua simtaki na kwa mda huo nishajua madhaifu yake nilikataa kulala naye,aiseee akasema lazima unifanye ni haki yangu kama mwanamke,nikajiuliza haki gani wakati siku nne ulininyima.
Kosa nililofanya huo usiku baada ya kusumbuliwa sana nikala mzigo kwa hasira.Kumbe ndo nimekata ticket ya mgogoro.
Asubuhi alipoamka akafua pants zake akazianika bafuni halafu akaondoka.Jioni ananipigia simu,"upo home "? Nikamwambia nipo ila usije "akasema lazima nije nataka nichukue panties zangu"
Nikaziweka kwenye mfuko nikamwambia bodaboda ampelekee.
Kesho yake nikamdanganya, my girl kaja,anapiga simu nikamwambia leo nipo na mke usije na usipige simu.
Kwa vile nyumba mbele ina geti akazungukia nyuma ya nyumba akaanza kugonga dirisha.
"Fungua mlango mpenzi leo nina ham sana nimemiss *oo wako".Anapiga simu sipokei kakaa hapo kugonga dirisha kwa masaa mawili mara alie,baada akaondoka.
Kweli ningekuwa na my baby girl ndani ingekuwaje,au kama wife ndo yupo ndani.
Asubuhi kaja na polisi akidai nimempa mimba halafu nimemwacha.
Tumeenda kituoni nikawaambia naomba tuende hospital tupime kama ana mimba,wakati najua nimekula siku moja tena kwa zana.Akagoma
Baadaye amebaki analialia tu.
Wakuu siyo kila mwanamke wa kumtongoza.
Nashukuru Mungu kutua huu mzigo
Mkuu ni kwangu ila sikuoa bao,but imenipa somo kubwaKitu ambacho sijaelewa hapo ni nyumbani kwako (residence) au ni guest house? Nimeshindwa kukuelewa.
Mpaka umri huo kama huelewi kazi ya hotel zilizojaa mjini ni nini basi pole una matatizo.
Hata kama hujaoa heshimu nyumbani kwako, watu matured hatufanyi utoto kama huo, jifunze kwenda hotel, zipo hotel za sh 20,000/= hapa mjini ni standard kabisa tena bed and breakfast.
Tatizo lenu vijana mkishanunuwa subwoofer tu na dressing table basi ndio mnafikiri ni sukari ya warembo wakaone getto, si kweli hivi vitoto vinahutaji zaidi pesa na siyo showoffs.
Ndo dawa yenu,, wanaume wenyewe kuwapata sabu kweli siku hzi,,
Halafu wanawake kama hao ndo ving'ang'anizi kwa wanaume smartJuzi kuna msela alitaka kumtia adabu demu wake, akampigisha mtungo wanaume 6 wakala papuchi. Kademu kimetuliaa kinagegedwa kumaliza wale wanaume 6 mdada anauliza ndio mshamaliza?. Hakuna mwengine manake hamu bado ninayo, aiseee😵 alitolewa ndukii kudadeki zake.