Kitu ambacho sijaelewa hapo ni nyumbani kwako (residence) au ni guest house? Nimeshindwa kukuelewa.
Mpaka umri huo kama huelewi kazi ya hotel zilizojaa mjini ni nini basi pole una matatizo.
Hata kama hujaoa heshimu nyumbani kwako, watu matured hatufanyi utoto kama huo, jifunze kwenda hotel, zipo hotel za sh 20,000/= hapa mjini ni standard kabisa tena bed and breakfast.
Tatizo lenu vijana mkishanunuwa subwoofer tu na dressing table basi ndio mnafikiri ni sukari ya warembo wakaone getto, si kweli hivi vitoto vinahutaji zaidi pesa na siyo showoffs.