B blackandwhite Member Joined Mar 4, 2015 Posts 63 Reaction score 93 Jun 19, 2021 #21 Kupenda ni upofu hata chongo utasema kengexa
omaryrtz Member Joined Nov 2, 2019 Posts 88 Reaction score 159 Jun 19, 2021 #22 Usiamini sana akili za mwanamke akiwa "kazini/chini ya amri. Wakati mwingine anacho kifanya hakiko katika uhuru wake. pindi ukimpa nafasi afanye Kwa uhuru wake anaweza kufanya vitu vya ajabu ukashangaa. Binafsi huwa natowa credit Kwa mwanamke anaefanya jambo akiwa anamiliki uhuru wake.
Usiamini sana akili za mwanamke akiwa "kazini/chini ya amri. Wakati mwingine anacho kifanya hakiko katika uhuru wake. pindi ukimpa nafasi afanye Kwa uhuru wake anaweza kufanya vitu vya ajabu ukashangaa. Binafsi huwa natowa credit Kwa mwanamke anaefanya jambo akiwa anamiliki uhuru wake.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,085 Jun 19, 2021 #23 Kichwa Kichafu said: Mkuu attachment yako mbona hahiendani na uzi. Fanya kutuwekea attachments zinazoenda sambamba na maudhuhi ya uzi. Click to expand...
Kichwa Kichafu said: Mkuu attachment yako mbona hahiendani na uzi. Fanya kutuwekea attachments zinazoenda sambamba na maudhuhi ya uzi. Click to expand...
Dumuzii JF-Expert Member Joined Jan 4, 2019 Posts 3,601 Reaction score 8,706 Jun 19, 2021 #24 Baharia baada ya kugongana na vichwa ngumu kwa muda mrefu hatimae kaona hafadhari hahahha
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,003 Jun 19, 2021 #25 Ahsante kwa taarifa...
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,518 Jun 20, 2021 #26 Mtoa mada ujatembea wewe, Odometer yako inasoma chini km 100,000