Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Sina mengi ila nina mfano tu mdogo,

Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga"

Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana.

Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa kusema kutokna na maandishi ya so and so muhasisi wa itikadi yangu aliwahi kupiga mtoto mchanga, basi ngoja na mimi nimpige tu maana sio vibaya

😂😂Hao Great thinkers wanaokushauri na nyuzi lukuki humu JF.

WEWE NI MKUU KULIKO HIO ITAKADI YAKO AMBAYO BABU YAKO ALILAZIMISHWA KUMEZESHWA
 
Pale itikadi inapozidi tafakuri na utashi wako binafsi basi wewe unaitwa victim (muhanga) wa itikadi hio.

THINK BIG🧠
 
Wako wengi sana humu, yupo Ritz, THE BIG SHOW, hawa ni vinara kwenye siasa za kiitikadi ya dini yao. Afadhali bibi yao Faiza Foxy yeye anajitanabaisha kabisa typically ni wa itikadi ya dini ya kikobazi. Wapo wengine ni wapiga zumari na ntaranira humu hawaachi kujambajamba humu na kuacha harufu kali ya itikadi ya dini yao, ndio hao wahuni wanaokimbilia karata ya udini wakishindwa kujibu hoja wanazobanwa nazo
 
Mkuu, ukikumbuka Kuna mabikra 72 pindi mtakapoaga dunia lazima uwe na itikadi za kidini.

Kumbuka jehanam hakuna mbususu aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…