Kuna Vitu vinatisha wakuu.....

Kuna Vitu vinatisha wakuu.....

Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee
Unakuta bado kuna watu wanakula hii View attachment 3661157
Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana.

Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi katoa gamba lake utakimbia aiseee.

Mpaka nimewaza sasa kutembea kwa maringo yote haya kumbe anatisha hivi. Mmmh
View attachment 3661158

Vishu Mtata unakulaga
Kuna kabila fulani wanakula ila siwez kuwataja
 
We
Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee
Unakuta bado kuna watu wanakula hii View attachment 3661157
Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana.

Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi katoa gamba lake utakimbia aiseee.

Mpaka nimewaza sasa kutembea kwa maringo yote haya kumbe anatisha hivi. Mmmh
View attachment 3661158

Vishu Mtata unakulaga
wewe ni muoga sijapata ona unashangaa kula ☺️ konokono

Wewe unaweza kubakia mochwari pekeako ndani na MAITI zikiwa sakafuni
 
Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee
Unakuta bado kuna watu wanakula hii View attachment 3661157
Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana.

Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi katoa gamba lake utakimbia aiseee.

Mpaka nimewaza sasa kutembea kwa maringo yote haya kumbe anatisha hivi. Mmmh
View attachment 3661158

Vishu Mtata unakulaga
Hiyo ikipikwa ni kama filigisi.
 
Sili binadamu na jamii zote za nyani ila vingine nakula vyote visivyo na sumu.
 
Watu wa Dar hawachagui mpaka mafuvu ya ng'ombe na mapumbu wanakula washenzi sana hawa watu
 
Back
Top Bottom