Hii nimeona sasa hivi. Nimeona bora niseme mapema ila kuna watu wana roho ngumu aiseee
Unakuta bado kuna watu wanakula hii
Mara kumi ule kukiwa na giza hata usijue unachokula aisee ila live live unaweza ukatapika kabisa haya mavitu yanatisha sana.
Bora ubaki kumuona kwa nje tu ila akiwa hivi...
Chumba changu cha kwanza kupanga hapa DSM kilikuwa kipo vibaya ila kutokana na hali ikabidi nikizoee licha ya uchakavu wa chumba changu ili kuna baadhi ya vyumba mitaani vilikuwa too much nikakumbuka kuna mshikaji alipata kazi ya kupuliza dawa ya mbu kwenye wilaya fulani alikuwa akiniambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.