Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

Kekule Wa Benzene Ring

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
277
Reaction score
1,178
taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.

alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
 
Binafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.
 
Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Anaetumia mabeberu huyu hapa
downloadfile-1.png
 
Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Kweli kabisa huyo kauza bandari, kauza hifadhi na kuhamisha maasai,kauza maeneo makubwa na ya kimkakati,kaingia mikataba mibaya na mibovu kabisa isiyo na maslahi na Nchi kwa kweli hatufai kabisaaaa na watu wanatekwa na kuuwawa hafanyi chochote Lisu hana maana.
 
Binafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.

Amina mpendwa mwana wa Mungu aliye hai. Nina hakika, kila atakayeomba kwa dhamira kwaajili ya haki, lazima Mungu wa haki atatenda. Mungu wetu ni mwaminifu, yeye amesema:

'Ombeni bila kuchoka'
'Ombeni nanyi mtapewa'
'Tafuteni nanyi mtapata'
'Pigeni hodi nanyi mtafunguliwa'.

Tena, akasema, 'Chochote mtakachomwaomba Baba, kwa jina Langu, mtapewa'.

Tena nabii Yakobo alusema:

Yak 5:16-18​

Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita. Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.

Hakika tufunge na kuomba kwa dhamira na kwa bidii, kuomba mkono wa Mungu wenye mamlaka yote, ukadhihirishe kuwa Yeye ni Mungu wa haki.
 
Kweli kabisa huyo kauza bandari, kauza hifadhi na kuhamisha maasai,kauza maeneo makubwa na ya kimkakati,kaingia mikataba mibaya na mibovu kabisa isiyo na maslahi na Nchi kwa kweli hatufai kabisaaaa na watu wanatekwa na kuuwawa hafanyi chochote Lisu hana maana.
Mnakuwaga kama mazezeta,mkiitwa tu mnaanza kuimba nyimbo zenu..ongezea hapo nrne
 
Back
Top Bottom