Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

It is impossible unataka kusema ndege haikuwa na rubani? Au msiba wake hawalushi live
 
alikuwa na msuguano na marekani
Ume kula maharage ya wapi wewe?
Uwe na msuguano na The United States of America (USA) Kisha ufanye tukio la namna ilo wasikunyake? Labda aamue kuachana na huu ulimwengu aka ishi mapangoni uko tofauti na hapo atadakwa kama kuku mwenye mdondo.
 
Duuh kuna walakini hapo mbona.
Mengi yatatoka mda si mrefu
Maana hata matanga yapo kwa shangazi yake na sio kwake
Kwake polisi wamezingira kuhofia wataiba sana
Ila naona polisi ndio watapiga sana yale madolari
 
Mkuu mpaka uone picha ya utumbo ilivyo mwaga samadi ndo uamini?
 
Alianza kugawa magari kwa kuyapamba kwa maua....akagawa fedha.......yupo judge wa Harare alikataa range rover......
------
-------/

I have a theory guys

What if Wicknell Chivayo faked his death or was taken out? This man talked A LOT and for someone with this much proximity to power and such a loose mouth, maybe at some point he started becoming a liability.

Even the way he documented his meetings with presidents and “powerful” people felt almost like insurance to me. Like, I will not be your secret. If I’m going down, nobody gets to suddenly pretend they don’t know me or have never dealt with me.

Also, none of this man’s moves make sense to me. How do you suddenly become THAT rich, THAT connected and start giving away cars and millions like it’s nothing? Where was all this money coming from?

I don’t know, something is just not adding up for me…Just a theory guys

Via Lynn Ngugi on X....
 
It is impossible unataka kusema ndege haikuwa na rubani? Au msiba wake hawalushi live
Akiwemo rubani inazuia nn kumuua?

Tuseme alipewa ndege arudie kitu nyumbani kwa chivayo huku ndege ikiwa na bomu la utegwe kwa muda.

Msiba ukirushwa laivu utaona mwili wa chivayo?

Wengi tunaenda na biti tu hakuna anae ujua ukweli, we angalia hadi mda huu kuna wanaosema familia nzima imekufa wakat taarfa nyngne znasem watoto wako salama hawakua kwny hyo ndege
 
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Mawazo ya CCM haya eti chadema wanajiteka.
 
Yani umeicopy kama ilivyo kisha ukaileta huku JF halafu unajifanya eti ni mawazo yako!
 
Back
Top Bottom