Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

Kama ametumia mbinu hiyo, aambiwe soon watamdaka wakimhitaji

Labda akafanyiwe surgery na kuwekewa puto kama la Peter msechu ama akatwe utumbo kama Wema ili apungue

Otherwise atadakwa karibuni kama Osama tu
😀😀😀
 
Haumini kuwa amefariki au? Chances are wamemuondoa mahasimu wake, ukiwa tajiri unakuwa na mahasimu kila kona, Kama security wake walizembea kidogo watu wametemper na mifumo ya helkopta.
 
Kama ametumia mbinu hiyo, aambiwe soon watamdaka wakimhitaji

Labda akafanyiwe surgery na kuwekewa puto kama la Peter msechu ama akatwe utumbo kama Wema ili apungue

Otherwise atadakwa karibuni kama Osama tu
Kuna DNA mkuu haiongopi hata akijificha kwa miaka 50 atagundulika tu, na kama ilivyo kwa mwanandamu atajisahau na kufanya kosa moja tu ambalo ndio litamkamatisha wenyewe wakiamua linakuwa suala la muda tu.
 
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Uongo
 
Kuna DNA mkuu haiongopi hata akijificha kwa miaka 50 atagundulika tu, na kama ilivyo kwa mwanandamu atajisahau na kufanya kosa moja tu ambalo ndio litamkamatisha wenyewe wakiamua linakuwa suala la muda tu.
Ni sahihi Mkuu, hawezi kujificha mwaka mzima bila kujulikana

Inaweza kupitia vipimo vya maabara hospitali akiugua ama njia nyingine

Lakini hana muda mrefu atajulikana
 
Hilo lilikuwa fisadi huku kwenye nchi zetu zenye marais wapumbavu, hana tishio kwa maisha ya raia yoyote wa marekani, ndo maana ukurasa wa wanaouza saa za gharama wamefuta picha zake alizopiga, wameona walikuwa wanadeal na mjinga mpumbavu mpenda sifa wameona hiyo aibu waifute baada ya kusikia kubwa jinga limekufa,,

Kiukweli ile picha yake na binti chura ilinikera na huyo maza ni kimbulu yani lipaka shume kama nchi tuna hasara hajawahi kutokea rais wa nchi kuwa swahiba na mtu aina ya huyu marehemu mpumbavu
Viongozi wengi wala rushwa walikuwa na urafiki naye hasa huku Afrika

Ameweza kujipenyeza TZ, Kenya, Zimbabwe n.k

Wanasema ndege wenye kufanana huruka pamoja, ndiyo maana namba moja aliweka uswahiba nae
 
Back
Top Bottom