Kuna utofauti gani jamani kati ya Iphone na ipod

ipod haiingii line unacheza tu games, kutumia apps na ku angalia na kusikiliza media. hivyo hutapiga simu wala kutuma msg za kawaida.
Mkuu Chief Mkwawa
Vp Hizi Simu Samsung Ambapo Baadhi Kwasasa Chip Zinazotumika Ni Mediateki
Kama Samsung Galaxy Grand Plus,Galaxy Emerge,Samsung J2 Za 2016
Kwenye Matumizi Ya Kawaida Tu Zikoje Na Ubora Wake Maana Kwasasa Simu Nyingi Ni LITE
 
Mkuu Chief Mkwawa
Vp Hizi Simu Samsung Ambapo Baadhi Kwasasa Chip Zinazotumika Ni Mediatek
Kama Samsung Galaxy Grand Plus,Galaxy Emerge,Samsung J2 Za 2016
Kwenye Matumizi Ya Kawaida Tu Zikoje Na Ubora Wake Maana Kwasasa Simu Nyingi Ni LITE
grand prime plus na j2 mpya nafkiri ni simu moja, nimeiona in real life haina tofauti na kina tecno, kioo kama kimemwagiwa maji ya mchele, plastic low quality la nje, perfomance mbovu etc.

mkuu samsung inaitwa samsung sababu ya vitu vyake, unapoongelea samsung moja kwa moja unaanza kufikia vitu kama soc za exynos, display za super amoled, material ya nje ya polycarbonate (sasa hivi glass na alluminium) etc.

unapoona simu ya samsung haina element hata moja ya u samsung then haina maana ya kuimiliki mkuu.

angalau hata j3 ya 2016 yenye sd410 na kioo cha hd cha super amoled ni nzuri, nafkiri bei zake ni humo humo kama kina grand prime plus.
 
Shukrani Sana Sana Kwa Ufafanuzi Murua Ambao Umenifumbua Macho Haraka
 
Chief mkwawa kuna siku niliandika thread kuhusiana na TV yangu Samsung flat screen series 4 4000 inashindwa kupeleka moto wa kutosha kusoma ext HDD ukanishauri nidownload play store ampere charging, nikafanya hivyo lakini hakufika 500amh hii vp inaweza ikawa tatizo ni TV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo ni umeme wa kawaida mkuu, hata port za laptop zinatoa kama huo, hivyo sidhani kama ni tatizo la umeme.

umejaribu kutafuta hdd nyengine uangalie?
 
grand prime plus na j2 mpya nafkiri ni simu moja, nimeiona in real life haina tofauti na kina tecno, kioo kama kimemwagiwa maji ya mchele, plastic low quality la nje, perfomance mbovu etc.

mkuu samsung inaitwa samsung sababu ya vitu vyake, unapoongelea samsung moja kwa moja unaanza kufikia vitu kama soc za exynos, display za super amoled, material ya nje ya polycarbonate (sasa hivi glass na alluminium) etc.

unapoona simu ya samsung haina element hata moja ya u samsung then haina maana ya kuimiliki mkuu.

angalau hata j3 ya 2016 yenye sd410 na kioo cha hd cha super amoled ni nzuri, nafkiri bei zake ni humo humo kama kina grand prime plus.
Mkuu.
Wapi wanauza Nokia 6 kwa hapa Tanzania?
 
Mkuu.
Wapi wanauza Nokia 6 kwa hapa Tanzania?
pearl hotel mtaa wa swahili kariakoo karibu na kituo cha daladala kariakoo masaki.

sema pengine ni refurbished za china, maana wafanyabiashara wetu ndo wanayoyajua hayo, bei nimeona 650,000

mpaka sasa sijamjua agent mpya wa Nokia. hivyo mambo ya warranty sijui yapoje.

pia kupatana na facebook naziona ona.
 
Back
Top Bottom