101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,257
hiyo unatakiwa ununue usb cable ya external hdd yenye usb pin mbili moja utachomeka kwenye charger inayotoa 12v with 5mA then hyo hdd itasomwa tuChief mkwawa kuna siku niliandika thread kuhusiana na TV yangu Samsung flat screen series 4 4000 inashindwa kupeleka moto wa kutosha kusoma ext HDD ukanishauri nidownload play store ampere charging, nikafanya hivyo lakini hakufika 500amh hii vp inaweza ikawa tatizo ni TV?
Sent using Jamii Forums mobile app