Bei na tofauti ya laptop na desktop

jangos

Member
Dec 20, 2023
24
28
Habari zenu wadau,

Naomba kujuzwa bei ya laptop na desktop bora na imara za kisasa na Kama kuna mtu anaweza kunielekeza utofauti na ubora wake nasikiliza.
 
Kudownload movies na kucheza games na ishu za mtandaoni kama netflix n.k
Kwa Desktop

200,000-300,000
Tafuta machine za Ryzen Amd kama Ryzen 2400G hizi as cheap as 230,000 then nunua Aliexpress ram mbili za 8GB around 2900mhz utacheza games hizi za kibongo bongo hadi 1080p low setting.

300,000+
Tafuta intel generation ya 8 kama i5 8400, 8500 ama i7 8700 hizi, nyingi hizi unazipata around laki 4 hivi, halafu baadae mdogo mdogo uta upgrade gpu.

Tofauti na hapo ni uandae zaidi ya milioni kupata cpu za kisasa za Amd/intel kuanzia Zen 3 ama gen ya 12.

Kwa Laptop

Uhakika kabisa kupata laptop nzuri ni intel Gen ya 10 kupanda ama Ryzen 5 4xxx series kupanda, hizi kibongo bongo nyingi zinaanzia laki 8 hivi, japo unaweza zipata chini ya hapo pia.

Kama unatafuta nje ebay unaweza pata bei chini kidogo.

Alternative ni kutafuta laptop za zamani zenye dedicated gpu, mfano intel gen ya 8 zenye Nvidia gpu.
 
Mkuu vipi kwa bajeti ya (800-1000)$. Naweza pata Laptop gani nzuri for heavy duty za programming. Brand new inaweza pendeza zaidi ila kama kuna ambazo ni used ila zipo vizuri napo fresh tuu.
 
Kwa Mac pengine unaijua, Macbook za M1 zimeshuka bei unapata chini ya hapo. Programing zipo vizuri.

Kwa Amd Ryzen mpya zen 4 cpu kama Ryzen 7 7840U

Kwa intel Meteor lake 14th gen ikiwa core 5 ultra ama core 7 ultra zote sawa.

Processor zote nilizotaja juu zinakaa sana na charge, laptop zake zitakua nyembamba na za kisasa, chengine hapo sasa wewe angalia unataka nini zaidi, kuna Vioo vya Oled ama kawaida lcd, Touchpad pana, wengine wanataka keyboard iwe na namba etc...

Unaweza kwenda Amazon ukasearch "7840u laptop" ama "Meteor lake laptop" kuona matokeo yote.
 
mkuu kuna hii hapa nimeiona sijui ushauli wako ni upi

Hii ni gen ya 13 mkuu, sababu gen ya 14 imetoka na ina improvement kubwa siku shauri kununua gen ya 13 kwa zaidi ya $1000.

Spectre yenye Meteor lake (generation ya 14) bado haijatoka ila leaks zake zishakua nyingi ina maana siku yoyote wataizindua.

Spectre haina version ya 7840u kwa HP zenye hii ryzen ni Pavilion na Elitebook series.
 
Na hp new model ata ikiwa ram GB 8 itakaaje upande wa bei au hp ipi nzuri zaid
 
Spectre yenye Meteor lake (generation ya 14) bado haijatoka ila leaks zake zishakua nyingi ina maana siku yoyote wataizindua.

Spectre haina version ya 7840u kwa HP zenye hii ryzen ni Pavilion na Elitebook series.
Sawa mkuu kwa nipo kwenye Research na nategemea kuagiza mid February nazani ngoja niisubilie nione.
ila hapa sijaelewa mkuu
"Spectre haina version ya 7840u kwa HP zenye hii ryzen ni Pavilion na Elitebook series."
 
Brand ya HP Ina subbrand nyingi.

Hio link ulioniwekea ni spectre X360 series ambayo ni premium laptop zenye manjonjo yote, nyembamba sana, unaweza ukaikunja kama tablet, ipo vizuri kwenye media etc.

Ukiona tu kwa picha unaona imetengenezwa kwa ajili ya mauzo na kukupa status.
images.jpeg-10.jpg

images.jpeg-9.jpg

Elitebook yenyewe wanatengeneza kwa ajili ya maofisi na wafanyabiashara ni Laptop ambazo muonekano sio priority, zinakuwa zinadumu na warranty zake ni ndefu mara nyingi miaka 3 ama zaidi,

Muonekano wa elitebook yenye 7840U
images.jpeg-11.jpg

Kama unataka tu Machine ya kazi kazi hio elitebook sio mbaya, ila kama Laptop kwako ni status unakua na mikutano na wateja ama sehemu ambapo unahisi ukifungua laptop Kali itakuongezea point kadhaa then spectre ipo vizuri.
 
Brand ya HP Ina subbrand nyingi.

Hio link ulioniwekea ni spectre X360 series ambayo ni premium laptop zenye manjonjo yote, nyembamba sana, unaweza ukaikunja kama tablet, ipo vizuri kwenye media etc.

Ukiona tu kwa picha unaona imetengenezwa kwa ajili ya mauzo na kukupa status.
View attachment 2876485
View attachment 2876486

Elitebook yenyewe wanatengeneza kwa ajili ya maofisi na wafanyabiashara ni Laptop ambazo muonekano sio priority, zinakuwa zinadumu na warranty zake ni ndefu mara nyingi miaka 3 ama zaidi,

Muonekano wa elitebook yenye 7840U
View attachment 2876490

Kama unataka tu Machine ya kazi kazi hio elitebook sio mbaya, ila kama Laptop kwako ni status unakua na mikutano na wateja ama sehemu ambapo unahisi ukifungua laptop Kali itakuongezea point kadhaa then spectre ipo vizuri.
sawa bosi hapo nimekuelewa. kwangu nahitaji mashine ya kazi kazi basi sipo kwa ajili ya show off.
 
Kiongozi hivi kuna possibility ya kuongeza ukubwa (uwezo) wa processor? Yani mfano kutoka 2.0 hadi zaidi ya hapo (let's say 3.0)
 
Mpaka ubadili motherboard, processor inaongezeka kwa gen 2 ama 3 Intel, mfano machine ya gen 8 inakubali cpu za gen ya 9, ila zaidi ya hapo ukitaka kuweka ya 10, 11, 12 na kuendelea inabidi ubadili motherboard.
 
Kaka kuna hii nimeona Alibaba ila sijaelewa feature yake na unavyojua hawachelewi kukupiga wachina(Utapeli)..kama kuna kitu nashida nacho ni PC aisee hasa kwenye kazi za programming.i7 ila bei ya kizalendo..SSD itapendeza zaidi pia naona kuna nyingine hybrid zina HDD na SSD yani unyama mwingi izo sijui ni aina gani...Pia upana muhimu atleast ianzie inch 16+..backlight keyboard..Recommendation hapa
Screenshot_20231218-005120.jpg
 
Kaka kuna hii nimeona Alibaba ila sijaelewa feature yake na unavyojua hawachelewi kukupiga wachina(Utapeli)..kama kuna kitu nashida nacho ni PC aisee hasa kwenye kazi za programming.i7 ila bei ya kizalendo..SSD itapendeza zaidi pia naona kuna nyingine hybrid zina HDD na SSD yani unyama mwingi izo sijui ni aina gani...Pia upana muhimu atleast ianzie inch 16+..backlight keyboard..Recommendation hapaView attachment 2878683
Kwa budget kiasi Gani?
 
Back
Top Bottom