Kuna utofauti gani jamani kati ya Iphone na ipod

Kuna utofauti gani jamani kati ya Iphone na ipod

grand prime plus na j2 mpya nafkiri ni simu moja, nimeiona in real life haina tofauti na kina tecno, kioo kama kimemwagiwa maji ya mchele, plastic low quality la nje, perfomance mbovu etc.

mkuu samsung inaitwa samsung sababu ya vitu vyake, unapoongelea samsung moja kwa moja unaanza kufikia vitu kama soc za exynos, display za super amoled, material ya nje ya polycarbonate (sasa hivi glass na alluminium) etc.

unapoona simu ya samsung haina element hata moja ya u samsung then haina maana ya kuimiliki mkuu.

angalau hata j3 ya 2016 yenye sd410 na kioo cha hd cha super amoled ni nzuri, nafkiri bei zake ni humo humo kama kina grand prime plus.
Asante chief mkwawa nimekuelewa sana
 
pengine hazijui au uliemkuta hafahamu au zimeisha. rafiki yangu mmoja jana alizikuta na picha alinitumia

DnPpwCS.jpg

VPuO5AV.jpg

9LUm8v1.jpg
Inawezekana zimeisha maana hata hivyo sikumkuta mwenyewe niliyemzoea maana leo nimemkuta kijana tu mwenye mwili wa kawaida,siku zote huwa namkuta jamaa mnene hivi, maana nimeangalia simu zote zilizopo kwenye kabati nikaambulia kuziona hizo Nokia za kwenye picha ya mwisho
 
grand prime plus na j2 mpya nafkiri ni simu moja, nimeiona in real life haina tofauti na kina tecno, kioo kama kimemwagiwa maji ya mchele, plastic low quality la nje, perfomance mbovu etc.

mkuu samsung inaitwa samsung sababu ya vitu vyake, unapoongelea samsung moja kwa moja unaanza kufikia vitu kama soc za exynos, display za super amoled, material ya nje ya polycarbonate (sasa hivi glass na alluminium) etc.

unapoona simu ya samsung haina element hata moja ya u samsung then haina maana ya kuimiliki mkuu.

angalau hata j3 ya 2016 yenye sd410 na kioo cha hd cha super amoled ni nzuri, nafkiri bei zake ni humo humo kama kina grand prime plus.
I wonder mkuu unatumia simu gani...

Sorry kwa swali binasfi..,

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Mkuu Chief-Mkwawa nauliza swali nje ya post ya mtoa mada, kwa uzoefu wako hapa Tz wapi naweza pata battery original ya Samsung galaxy S4 I9506?
ninavyofahamu ni almost impossible kupata oem battery hapa Tanzania, kuna michina tu. sema kunakuwa na wachina wenye uafadhali,

cha muhimu angalia hata brand nzuri za battery kama anker au zerolemon ukipata battery zao sio mbaya,
 
Mkuu chief-mkwawa sorry nauliza ni bei gani dukani macbook air 11inch mpya

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom