Kuna ukweli wowote wa sadaka kupelekwa Vatican?

Kuna ukweli wowote wa sadaka kupelekwa Vatican?

Kuna msela mmoja aliwahi kuniambia kwamba ndio Vatican wanao miliki Benki ya Dunia, akaenda mbali zaidi na kusema USA ilipotaka kumvamia Nicolas Maduro wa Venezuela, Vatican wakasema mmvamie na sisi tutoe hisa zetu Benki ya Dunia. Sina uhakika lakini
 
Toa Ndugu, Toa Ndugu Ulichonacho Bwana Anakuona Hadi Mfukoni Mwako
 
U
Habari wana JF kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.

Leo kuna rafiki yangu mmoja nimemsikia akisema kuwa kuna sadaka wanazo changia kanisani (Kanisa Katoliki) zinaenda Vatikani. (Yeye ni mkatoliki)

Hili kwangu ndio kwanza nalisikia kwa huyu rafiki yangu, sikutaka kumbishia kwakua mimi sio Mkristo nikajisemea moyoni nitalifanyia kazi nipate uhakika wa hili.

Kama ni kweli inakuaje wao kwa utajili walionao baada ya kutusaidia sisi tuna wasaidia wao?
Ukishapata uhakika ndo utagundua nini?
Mind your business
 
Habari wana JF kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.

Leo kuna rafiki yangu mmoja nimemsikia akisema kuwa kuna sadaka wanazo changia kanisani (Kanisa Katoliki) zinaenda Vatikani. (Yeye ni mkatoliki)

Hili kwangu ndio kwanza nalisikia kwa huyu rafiki yangu, sikutaka kumbishia kwakua mimi sio Mkristo nikajisemea moyoni nitalifanyia kazi nipate uhakika wa hili.

Kama ni kweli inakuaje wao kwa utajili walionao baada ya kutusaidia sisi tuna wasaidia wao?
Yaani hilo ndio unalijua leo mkulungwa? mbona kitambo sana hata babu yako hajazaliwa, Roman ni taasisi ya kibepari inayokusanya fedha duniani kupitia makanisa ya kikatoliki, mfumo huu umearithiwa na makanisa yote yenye mfumo wa matawi, manabii na mitume wenye makanisa yanamna hiyo.. by the way mfumo huo pia upo kwenye mifumo ya serikali TRA na Benki kuu/hazina
 
mfumo.Wa.roman huu sio tu ulikuja.huku Africa
Bali dunia nzima sasa jiulize marekani waliukataa na.kuleta.dini zao na haiwezi kukubalika eti Raisi awe mkatoriki.mnajua Dora.ya kirumi ilitawala dunia na ikapigwa
vita na kuishia.tu Kwenye namba za
kirumi zilizolazimishwa kujulikana.kwa.kila.MTU.duniani pasipo.faida in kama.unavyoona
marekani na.mfumo Wao wa dola
 
Kuna percentage flani ndogo sana kila jimbo lina wajibu wakupeleka Vatican ilikuwa hasa miaka ya nyuma.

Pia kuna mchango unaitwa Peter’s Pence, au shilingi ya Peter. Mchango huu na mingine hupekekwa Vatican kwa ajili ya uinjilishaji sehemu zile zenye mahitaji makubwa na zilizo maskini.

Michango hii mingi hupelekwa Afrika na huwa ni matrilioni ya hela.
Screenshot_20230709-232846~2.png
 
Sasa kama kila nchi sadaka zinaenda Vatcan, hao jamaa wa Vatcan wanaweza kununua bara la Afrika wakiamua,fikiria kila wiki sadaka zinaenda vatcan, na sio sadaka za Tanzania tu Duniani kote walipo wa Roman catholic,kila wiki sadaka ziende Vatcan miaka yote,
kumbe ndo mana wananguvu kubwa duniani
 
Back
Top Bottom