Kuna ukweli wowote wa haya mambo kuhusu radi?

Kwema wakuu.

1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli radi ni jogoo?

2. Ukivaa nguo nyekundu kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa radi. Kuna ukweli katika hili?

3. Radi inaweza kupiga hata kama mvua hainyeshi. Je ni kweli au ni hadithi za Abnuwasi?

Heshima mbele, natanguliza shukrani.
Yaani kitendo cha kujiuliza maswali kama hayo, kinaonesha una safari ndefu saana. Sasa umejiuliza umekosa majibu unakuja kuuliza watu wengine huo utoto wako, hatuongelei safari ndefu tena. hapo tunasema UMEPOTEA. Kwaheri
 
mkuu umekula kweli?
 
Kwema wakuu.

1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli radi ni jogoo?

2. Ukivaa nguo nyekundu kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa radi. Kuna ukweli katika hili?

3. Radi inaweza kupiga hata kama mvua hainyeshi. Je ni kweli au ni hadithi za Abnuwasi?

Heshima mbele, natanguliza shukrani.
Hiyo ya 3 ni kweli.

Ila huwa radi la kutengeneza.
 
Back
Top Bottom