nina swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina swali kwa wadada, watoto msifungue uzi tafadhari

    Ati ni kweli doggy style huwa inawaumiza..? Shida ni nini haswa kama huwa mnaumia..? Je, tufanye nini kwa usahihi zaidi ili muepuke maumivu kwa wanaoumia..? Itakuwa vyema sana kama kwenye mjadala huu wakitokea madaktari wakatoa muongozo, karibuni waungwana.
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

    Haijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako. Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya ambazo hazina tiba na zitawatesa watoto mpaka wanapokufa wakiwa bado watoto wachanga au wadogo? (cancer...
  3. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania JF wanaanga, Nina swali kidogo

    I'm not much of technologist lakini I'm confused. I can’t claim that the Apollo 17 mission in 1972 was fake, since I have no proof and that would just be an emotional argument. However, I’m curious: if humans were able to land on the Moon with the technology available in the 1970s, why is...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni zipi naweza KUWA reseller na Zenye unafuu vile vile Nina swali Kwa kampuni ya ICT, uendeshajibwake ukoje

    Ndio wadau kampuni ya ICT works inaendeshwa vipi na upatikanaji WA tende ni vitu gani muhimu hasa KWENYE kuoperatr. Kwa Sasa tunafanya heavy printing but tunataka kujua upande huo pia
  6. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Nina swali kwa Wafugaji wa Kuku

    Wakuu, Habari za Leo, Wafugaji wa Kuku naomba kuuliza , mnajuaje huyu Kuku inabidi mumuuze kwa bei flani (mfano 7,000)? Kwa kutumia Fuga App itakusaidia kujua kila shilingi inapokwenda na kukupa uhakika wa kufanya maamuzi sahihi Pakua Fuga App Playstore Leo,Uongezee faida yako na kupunguza...
  7. Bueno

    JamiiForums Tanzania Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina swali kwenu wadau

    Habari za mda huu wadau Hivi mwanamke anaweza kusoma chuo miaka mitatu vijana wa hovyo wasipite nae hili ni swali kutoka kwa mtu wangu wa karibu mwisho wa kunukuu
  9. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote wa haya mambo kuhusu radi?

    Kwema wakuu. 1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli radi ni jogoo? 2. Ukivaa nguo nyekundu kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa radi. Kuna ukweli katika...
Back
Top Bottom