mvua ikinyesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

    Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Namahonga – Tandahimba, Wanafunzi wanakaa chini, mvua ikinyesha madarasa yanavuja

    Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa ya kubaki nyumbani. Wanafunzi wanasoma wakiwa wamekaa chini, hawana madawati, mara kadhaa...
  3. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote wa haya mambo kuhusu radi?

    Kwema wakuu. 1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli radi ni jogoo? 2. Ukivaa nguo nyekundu kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa radi. Kuna ukweli katika...
Back
Top Bottom