Kuna ukweli wowote wa haya mambo kuhusu radi?

Kuna ukweli wowote wa haya mambo kuhusu radi?

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
8,561
Reaction score
22,876
Kwema wakuu.

1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli radi ni jogoo?

2. Ukivaa nguo nyekundu kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa radi. Kuna ukweli katika hili?

3. Radi inaweza kupiga hata kama mvua hainyeshi. Je ni kweli au ni hadithi za Abnuwasi?

Heshima mbele, natanguliza shukrani.
 
Mi sijawahi kushuhudia ila nasikia kigoma radi inapiga hata kipindi cha kiangazi tena inakufuata ukikata kona kwenye kichochoro ina wewe tu mpaka ikupige
Hahahaha dah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hio mbona iko kama ngumi ndoige ya Mandonga mtukazi.
 
Back
Top Bottom