Kuna ukweli kwamba wanawake hawapendani wao kwa wao?

Yaaaani ila nimejifunza
Kianchofanya wanawake wengi tusipendane ni wivu, unafki na kujilinganisha
Unakuta mtu akijilinganisha na wewe anaona unamzidi kila kitu 😅au anacompete na wewe kimya kimya na anajikuta bado anashindwa 😅😅
Unatongozwa na watu anaotamani atongozwe nao
Kazini akiona unaelewana na kila mtu anaona kama wewe ndo nuksi yake
Enewei ndo tushakua wanawake tena
Amehlo ulipigwa na kitu kizito sana na huyo BFF wako 🍖 😂😂😂 daah pole lkn vipi alikuibia na bwana sio eeh au 🤔
 
Yaaaani ila nimejifunza
Kianchofanya wanawake wengi tusipendane ni wivu, unafki na kujilinganisha
Unakuta mtu akijilinganisha na wewe anaona unamzidi kila kitu 😅au anacompete na wewe kimya kimya na anajikuta bado anashindwa 😅😅
Unatongozwa na watu anaotamani atongozwe nao
Kazini akiona unaelewana na kila mtu anaona kama wewe ndo nuksi yake
Enewei ndo tushakua wanawake tena
Midnight walker nasoma koments tu miyeee!!
 
Yaaaani ila nimejifunza
Kianchofanya wanawake wengi tusipendane ni wivu, unafki na kujilinganisha
Unakuta mtu akijilinganisha na wewe anaona unamzidi kila kitu 😅au anacompete na wewe kimya kimya na anajikuta bado anashindwa 😅😅
Unatongozwa na watu anaotamani atongozwe nao
Kazini akiona unaelewana na kila mtu anaona kama wewe ndo nuksi yake
Enewei ndo tushakua wanawake tena
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
 
Mtaani hapatoshi
 
Hii ni kweli kabisa,hawapendani,na ndio maana wewe angalia akipita mwanamke ana shepu flani, kavaa kiajabu ajabu,waone watakavyomuangalia,kuna watakaotema mate chini,kuna watakafyonya,kuna watakao benua midomo,kuna watakaoangua kicheko cha kebehi,yani ni balaa.Hata ukienda outing na mwanamke kwenye bar au hotel,angalia wale wahudumu wa kike watakavyokuwa wanakuhudumia kwa nyodo,wakati ukienda peke yako watakunyeyekea mpaka utashangaa....
 
Yaan mtu anakuuliza unampenda Fulani,nae anakupendaa? Afu keshokutwa waona wakibebishana.Kumbe alikuwa anakuchora tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Wanabebishana tyuu hakuna kitu buana🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Ukisikia uchawii Huu ndio uchawiiii wenyewe sasa 🤣! Uchawiiii wa asubuhi kweupeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom