Kuna ukweli kwamba wanawake hawapendani wao kwa wao?

Kuna ukweli kwamba wanawake hawapendani wao kwa wao?

Kuna mmoja alishobokea mtu hata mwaka hakumaliza kilichomkutaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Shobo zoteee kwishaaa mamaeee!! Nikimuona Huwa nacheeekaa😂😂😂😂
Amekua mpole kama maji ya mtungini🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hawa ndio wanaume bana!
Afu anaekufanyia ivo mapenz anayalazimisha tu hata hapendwi
 
Yaaaani ila nimejifunza
Kianchofanya wanawake wengi tusipendane ni wivu, unafki na kujilinganisha
Unakuta mtu akijilinganisha na wewe anaona unamzidi kila kitu 😅au anacompete na wewe kimya kimya na anajikuta bado anashindwa 😅😅
Unatongozwa na watu anaotamani atongozwe nao
Kazini akiona unaelewana na kila mtu anaona kama wewe ndo nuksi yake
Enewei ndo tushakua wanawake tena
Hiyoo kushindanaa kimya kimyaaaa ndio imezidii halafu bado wanashindwaaa woooooiii😄😄😄😄
 
Niwkikumbuka Bff wangu ndo alikua akipeleka maneno kwa baby wangu na uongo juu hapana kwa kweli 😅😅
Eheeee ikawaje
Watu na ma biefuefu wenu

Sina mtu wa kumuitq BFF
Nna mashost na madada

Sijawahi kusnitchiwa na shost
Ila siki ikitokea… nitamchambaaa na block juu
 
Hii ni kweli kabisa,hawapendani,na ndio maana wewe angalia akipita mwanamke ana shepu flani, kavaa kiajabu ajabu,waone watakavyomuangalia,kuna watakaotema mate chini,kuna watakafyonya,kuna watakao benua midomo,kuna watakaoangua kicheko cha kebehi,yani ni balaa.Hata ukienda outing na mwanamke kwenye bar au hotel,angalia wale wahudumu wa kike watakavyokuwa wanakuhudumia kwa nyodo,wakati ukienda peke yako watakunyeyekea mpaka utashangaa....
ni kweli imeshanitokea hii mkuu kwa waiter wa restaurant, yaani alikuwa yupo serious sana na mimi kama askari na raia.
 
Yaaaani ila nimejifunza
Kianchofanya wanawake wengi tusipendane ni wivu, unafki na kujilinganisha
Unakuta mtu akijilinganisha na wewe anaona unamzidi kila kitu 😅au anacompete na wewe kimya kimya na anajikuta bado anashindwa 😅😅
Unatongozwa na watu anaotamani atongozwe nao
Kazini akiona unaelewana na kila mtu anaona kama wewe ndo nuksi yake
Enewei ndo tushakua wanawake tena
I never experience this aisee
 
Back
Top Bottom