Kuna ukweli kwamba wanawake hawapendani wao kwa wao?

moyo wa bilionea

JF-Expert Member
Jun 17, 2022
327
646
Habari wadau,

Kwa muda mrefu umekuwepo msemo huu kwamba wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani ambayo inaonekana ni tofauti na ilivyo kwa wanaume.

Hadi kufikia hatua kusemwa unaweza ukakuta sehemu za kazi wanawake wanaofanya pamoja wanaongea vizuri wenyewe kwa wenyewe lakini sivyo kiwango cha upendo kilichopo mioyoni mwao.

Je, wadau msemo huu una ukweli pamoja na wanawake hivi sasa kudai haki sawa kwa wote yaani 50/50? nawasilisha wakuu.
 
Habari wadau, kwa muda mrefu umekuwepo msemo huu kwamba wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani ambayo inaonekana ni tofauti na ilivyo kwa wanaume. Hadi kufikia hatua kusemwa unaweza ukakuta sehemu za kazi wanawake wanaofanya pamoja wanaongea vizuri wenyewe kwa wenyewe lakini sivyo kiwango cha upendo kilichopo mioyoni mwao. je wadau msemo huu una ukweli pamoja na wanawake hivi sasa kudai haki sawa kwa wote yaani 50/50? nawasilisha wakuu.
Hiii ni ukweli

Wanawake kwa unafki na chuki wakiamuliana utacheka mpaka basi 🤣🤣🤣
 
Bro acha tu mi nina ndugu zangu wa kike aseee jinsi wanavyonafkiana na kusengenyana mi mpaka nawa ignore 🤮🤮🤮🤮🤮🤮.

Daaah alafu wengine huwezi dhania ila wamo loooh
daa! hii inaonesha ni tabia ya asili ya wanawake walio wengi. kwasababu hii ni rahisi wenyewe kwa wenyewe kutokuwa na umoja na kutawaliwa na wanaume.
 
Tena hii kitu imo kwa 92% yaani hii ya kumsagia kunguni ipo sana

Nashukuru Mungu kaniumba mwanaume 😊
Yaaaani ila nimejifunza
Kianchofanya wanawake wengi tusipendane ni wivu, unafki na kujilinganisha
Unakuta mtu akijilinganisha na wewe anaona unamzidi kila kitu 😅au anacompete na wewe kimya kimya na anajikuta bado anashindwa 😅😅
Unatongozwa na watu anaotamani atongozwe nao
Kazini akiona unaelewana na kila mtu anaona kama wewe ndo nuksi yake
Enewei ndo tushakua wanawake tena
 
Back
Top Bottom