kuna kijiwe changu fulani pemben kulikuwa na mgahawa mkubwa sana wakisasa kulikuwa na wahudumu wakike wengi,
vituko ilikuwa ni kunafkiana, mwenzao mmoja akipendeza bas watamponda kipembeni kinoma, mwenzao mwingine tena akinawiri na katrako kakitoka bas watampondea vibaya na kumchukia sababu tu amenawiri vzr mara anameza A.R.V yule sio bure na kumnunia, mmoja akinunua simu kali pia atapondwa na kuchukiwa,
wanawake woote ni mafahari hawapendi kuzidiwa kivyovyote vile na wanawake wenzao, akimzid kivyovyote vile iwe kifedha, kunawiri katrako, kupendeza mavazi bas wenzao wanateseka na kumchukia