Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri.

Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji.

Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi ya vijiji huonyesha kuwa nyama ya mbwa huuzwa kwa siri au hutumika kama tiba mbadala.

Mkoa wa mara na baadhi ya maeneo ya arusha hasa zile zinazoishi karibu na mpaka wa Kenya, kuna taarifa za ulaji wa nyama ya mbwa hasa kwa sababu za kitamaduni au uganga.

Ndio maana hii mikoa inawatu wenye roho za mbwa sasa sijajua kwa nini geita wamekosekana.

Untitled1.png
 
Ulaji wa mbwa upo lakini umekuzwa Sana


Kwanza idadi ya mbwa NI kidogo mno watu wangekuwa wanawala mara kwa mara wangeshaisha kumbuka mbwa mpaka aje akue azae aache uzao NI zaidi ya mwaka..si cattle wale
 
Mbwa upatikanaji wake ni kama Tu wewe kuibahatisha nyama pori kwa mwaka unaweza usile kabisa au mara moja au mbili..so hata iringa probably unaweza kuta week mbili Ka dog hakajaangushwa..ila itakuwa ni katamu kakichomwa au kuokwa
 
Back
Top Bottom