BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,770
- 6,241
Mshana kazungumza kingine, wewe unaleta uchadema,hivi una tatizo gani?Baharia kutoka kwenye uzi pendwa
Inakuwaje tena unaunga juhudi
Mshana kazungumza kingine, wewe unaleta uchadema,hivi una tatizo gani?Baharia kutoka kwenye uzi pendwa
Inakuwaje tena unaunga juhudi
Hapana sio jukumu letu..tuna miiko na mipaka na viapoKwa Nini? Mana wakishindwa kutoa taarifa inabidi , wazee wa kuruka watupe taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi post zako zinaonesha unatamani sana msiba unaouhisi uwe ni kweli. Kuna uzuri gani katika hilo? Siku za mwanadam aliyezaliwa na mwanamke si nyingi nazo hujaa taabu. Sioni busara Katika kufurahia msiba wa mtu, uwe halisi ama wakufikirika kama ilivyo sasa. Uwe Rais ama raia wa kawaida, utakufa tu wakati ukifika.Ule mwangwi wa kile kishindo haujajibu bado. ili uwe mwangwi lazima kuwe na mshindo nyuma
Kaya imeshurutishwa kukaa kimya kwa lazima lakini sio tulivu. Mafikara yanawasokota ndani kwa ndani na fukoto ni kubwa.
Utulivu huleta ukimya, lakini ukimya kamwe hauwezi kuleta utulivu ndio maana Waswahel wanasema kimya kingi kina mshindo mkuu.
Ni kama vile kaya iko kwenye kipindi cha mpito cha sintofahamu kubwa.
- Wakuropoka wameropoka
- Wakuongea wameongea
- Wa kushauri wameshauri
- Wa kutabiri pia na hata wale wa ramli chonganishi, wote Nolan
Hii ni jamhuri next level. Ukimya uliopo si wa kawaida kiasi kwamba hata wanakaya sasa wanaogopa hata kunong’onezana yatokanayo kunaogofya! Kunatisha sana.
Hebu tuzoeeni kuishi kwa ukimya hata kama hatuna utulivu ili maisha yasonge. Ukimuona fulani karopoka ropo na bado anadunda na hata kugongea veve. Makinika sana. Usiige tembo kunya utapasuka msamba wahenga walisema.
Naomba nitendee haki kwenye hili.. Tafadhali nioneshe post hata moja tu inayofurahia msiba wa yeyote yule....!!!!Kiongozi post zako zinaonesha unatamani sana msiba unaouhisi uwe ni kweli. Kuna uzuri gani katika hilo? Siku za mwanadam aliyezaliwa na mwanamke si nyingi nazo hujaa taabu. Sioni busara Katika kufurahia msiba wa mtu, uwe halisi ama wakufikirika kama ilivyo sasa. Uwe Rais ama raia wa kawaida, utakufa tu wakati ukifika.
May God wishes prevail
Let wait and see.
ShikAmoo mshana... duuuuh wewe kibokoMlale unono