Kuna ukimya na utulivu

Kuna ukimya na utulivu

Magufuli kiboko,anajua kuichezesha Tanzania vizuri hadi Dunia nayo bila kumuona Magufuli nayo inatulia,eti hadi Boko Haram wamesimamishwa mapambano nao wanamsikilizia Mzee Baba,huko US hata Baiden kasahaulika,macho na masikio ya Dunia kwa Sasa yako kwa Magufuli!! All eyes on Magufuli!!
All ayes on him ni kweli
 
Aisee tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho MshanajrView attachment 1728375
JamiiForums-2103925990.jpg
 
Hebu tuzoeeni kuishi kwa ukimya hata kama hatuna utulivu ili maisha yasonge. Ukimuona fulani karopoka ropo na bado anadunda na hata kugongea veve. Makinika sana. Usiige tembo kunya utapasuka msamba wahenga walisema
IMG-20240818-WA0049.jpg
 
Hebu tuzoeeni kuishi kwa ukimya hata kama hatuna utulivu ili maisha yasonge. Ukimuona fulani karopoka ropo na bado anadunda na hata kugongea veve. Makinika sana. Usiige tembo kunya utapasuka msamba wahenga walisemaView attachment 3074385
 
Back
Top Bottom