Enyi Watanzania,na washabiki wa siasa,hasa za hunu mtandaoni,huu ni wasaa wa kulia na kuomboleza.
Sio kwa tofauti ile iwayo yote tudhubutu kukaribisha nafsini mwetu laana aliyoikataza Mungu.
Tuungane tulie na kumlilia Mungu kwa hatima yetu.
Ni lipi tunatarajia baada ya huyu kuondoka.
Hakika tumlilie Mungu kwa hatima yetu baada ya Magufuli.
Ni msiba,tuungane kulia pamoja.
Naamini kwa hali ya ubinadamu na hofu ya Mungu,hata wale waliokuwa wakiifanya siasa kwa namna ya ushabiki,hata kama kujeruhika,wametokwa na machozi kumpoteza Raisi wetu.
Mshindani wao wa karibu.
Tuungane kumlilia MZALENDO wa kweli John Pombe Joseph Magufuli.
EWE MWENYEENZI MUNGU TUSAMEHE NA KUTUREJELESHEA FURAHA NA AMANI YA MIOYO YETU TULIYOIONA TULIPOTIZAMA MBELE.