Kuna ukimya na utulivu

Kuna ukimya na utulivu

Ukimya na utulivu ni vitu tofauti japo vinaendana. Ukimya unaleta maafa.

Ukimzaba mtu Kofi, kumkata ngwala, 'kumlia' mke wake but still akae kimya. Unaweza ukaenda kujisalimisha polisi mapema.

Mabubu hawaongei lakini hawakai kimya, wanazungumza.

Conspiracy theory ukimya huu Kuna mtu lazima abebeshwe mzigo ambao sio wake... lawama, lupango, hata kifo.

Conspiracy theory, ukimya huu Kuna mtu anaumia, wizi.
 
Magufuli kiboko,anajua kuichezesha Tanzania vizuri hadi Dunia nayo bila kumuona Magufuli nayo inatulia,eti hadi Boko Haram wamesimamishwa mapambano nao wanamsikilizia Mzee Baba,huko US hata Baiden kasahaulika,macho na masikio ya Dunia kwa Sasa yako kwa Magufuli!! All eyes on Magufuli!!
Hahahaha anataka kwanza atrend dunia nzima..kwamba na yeye ni mtu mkubwa,Kama alivyo wa NK,Russia,US etc etc..

Vyombo vya habari vya kimaTaifa kama Dw,Aljazeera,BBC + CNN vianze sasa kumtangaza kuwa ameonekana + nchi ijulikane na kufuatiliwa

Hukumbuki wakati ule alisema mapapai yana korona?..hii habari ikapiga mataifa mengi duniani?

Jee,juzi hukumbuki issue ya chanjo?..habari pia ikatrend?
 
Watoto: Mama baba yupo wapi?

Mama: Baba yenu yupo, anawasalimia sana anasema msome kwa bidii.

Watoto: Yupo wapi, mbona hatumuoni hata sebuleni wakati wa kula!

Mjomba: Mnamtaka baba yenu ashinde anazurula kama nyie au muende nse shule kila siku aache kiwatafutia chakula na ada?

Mama: Atakayeniuliza hilo swali tena ntamchapa fimbo na nitamnyima chakula

Watoto:

Mama & Mjomba:

This is Hadrianus
 
Bas hakika huu ndo mwisho wa empire hile kutoka 5 tena hadi kutoonekana tena.

Je ni karma hii?

Je hii stroke iliyompata huyu mzee wetu Bakayoko Ni nin?

Vipi kuhusu mapigo saba?
Now it's seven plague
 
Bas hakika huu ndo mwisho wa empire hile kutoka 5 tena hadi kutoonekana tena.

Je ni karma hii?

Je hii stroke iliyompata huyu mzee wetu Bakayoko Ni nin?

Vipi kuhusu mapigo saba?
Dar ni Alfa nao Mega,aliikashfu Dar,aliiua Dar refer to Biashara Kariakoo,bomoa bomoa,aliisengenya Dar,akaikimbia Dar,hatimae akarudi kuja kuivunja Dar kabisa(Jiji) lakini hapa Dar haukumuacha salama,ikamvunja yeye milele.
 
Huu uandishi ni zaidi ya Shaban -Robert.
 
Dar ni Alfa nao Mega,aliikashfu Dar,aliiua Dar refer to Biashara Kariakoo,bomoa bomoa,aliisengenya Dar,akaikimbia Dar,hatimae akarudi kuja kuivunja Dar kabisa(Jiji) lakini hapa Dar haukumuacha salama,ikamvunja yeye milele.
Mwalimu wako wa fasihi andishi atakuwa mzuri sana. Hongera sana. Kuna Jiji la Arusha, Jiji la Mbeya, Jiji la Mwanza n.k yote yamebeba jina la mkoa. Iweje Jiji la DSM livunjwe? Mungu ni upendo na kanuni yake tuishi kwa upendo. Tusijidanganye kutaka jina la Mungu Bure wakati moyoni kumejaa chuki, uuaji, utesaji, unyanyasaji, wivu, Yaani ni unafiki mtupu. Tutalipwa kwa MATENDO yetu tukiwa hapa hapa DUNIANI.
 
Back
Top Bottom