Kuna ukimya na utulivu

Kuna ukimya na utulivu

Watu naona mnaruka ruka tu.
SI mseme, eeh semeni tujue kwamba Ebhana Ni hivi na hivi..ee tujue.

Sasa mnaruka ruka, mara ngo sijui, eeh kyekyekyee..ebhanaaeee.

Twambieni kwmba Ebhana tiyari au Bado.

In brother K's voice😂😂😂
 
Hahhahahahahahaa...kyekyekyekye
 
Mie na chapa kazi kama kawaida yajayo yaje kama yatakavyo kuja hakuna shida. Nanawa mikono na kusocial distance kama maelekezo ya WHO yanavyoelekeza mkuu.
 
Back
Top Bottom