Kuna ukimya na utulivu

is this a coincidence? kuna shida sehemu jamani, our statesmen are falling.. let alone our forefathers are falling silently. we are grieving
Screenshot_20210318-024847.jpg
 
Nasubiri kuona watu wakirudi hapa kuramba matapishi yao, ndio maana sipondi thread ya mtu na ni bora kukaa kimya kwani mengi ninayofahamu hayafahamiki na wengi lakini pia wengi wanafahamu mengi ambayo nami siyafahamu.
 
Sasa mkuu unanifanye nifute nyimbo zote kwenye simu yangu ili nianze kudownload audio za meditation
Huko kote usiende baki kati na kati. Meditation ni madhambi na ushirikina na Nyimbo ni ukhanithi na maasi.
 
Mkuu sijui tukuite jina gani nahisi mshana si jina lako halisi bali walitumia kutuhadaa sisi wwe ni kiongozi mkubwa kabsa ktk nchi hii tena kutoka ikulu.si kwa siri hizi zenye kificho.
wewe si mshana
ni mimi ndugu yangu kapuku tu fulani wa kitaa mbangaizaji kama wengine tuu
 
Nasubiri kuona watu wakirudi hapa kuramba matapishi yao, ndio maana sipondi thread ya mtu na ni bora kukaa kimya kwani mengi ninayofahamu hayafahamiki na wengi lakini pia wengi wanafahamu mengi ambayo nami siyafahamu.
Hawawezi kuja
 
Huko kote usiende baki kati na kati. Meditation ni madhambi na ushirikina na Nyimbo ni ukhanithi na maasi.
mhh hapana meditation sio madhambi ..bali zambi ni ule muktadha..una meditate kwa ajili ya nani...nini...!!!
 
mhh hapana meditation sio madhambi ..bali zambi ni ule muktadha..una meditate kwa ajili ya nani...nini...!!!
Huu ni mjadala khasa kaka, labda kama huijui meditation vizuri, watu wanadanganyana juu ya hili, matokeo ya hili ni kuja kuzuka Uhindu na Ubudha, ambao nao ni ushirikina.

Masikitiko yangu makubwa ni hii Meditation kwa kiswahili kuitwa TAHAJUDI, huwa nawaza kwanini wajinga wanapewa dhamana na kusimamia mambo.

Labda nikuuize swali msingiwa Meditation ni nini ?
 
Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke , Siku zake za kuishi ni chache sana nazo hujaa tabu nyingi.
 
Back
Top Bottom