Kuna ukimya na utulivu

Kuna ukimya na utulivu

IMG-20210317-WA0047.jpg
🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Hata tanzia siku hizi sizioni huku jf.walaI waliofariki kwa korona siwasikii tena..
Habari kubwa nina rais haonekani.
Magufuli kiboko,anajua kuichezesha Tanzania vizuri hadi Dunia nayo bila kumuona Magufuli nayo inatulia,eti hadi Boko Haram wamesimamishwa mapambano nao wanamsikilizia Mzee Baba,huko US hata Baiden kasahaulika,macho na masikio ya Dunia kwa Sasa yako kwa Magufuli!! All eyes on Magufuli!!
Sisikii na sioni video za misiba..
DaahI Tanzania bhna
 
Back
Top Bottom