Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,385
- 8,281
Imeenda wapi hii? Mshana Jr Mwenyewe kaifuta au imefutwa na wataalamu ?A missed quote![]()
Imeenda wapi hii? Mshana Jr Mwenyewe kaifuta au imefutwa na wataalamu ?A missed quote![]()
Inawezekana wamekorogana huko huko Green Ila jumba bovu atasukumiwa Lissu.Karma at its peak
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe wewee unadhani ni nani mwingine???😝😝😝
NjeKwani Yale macho yalikuwa yanachungulia nje au ndani?
Sijawahi kuona wakati uliozalisha wataalam wa kuandika mafumbo kama wakati wa jpm,imebidi tu advance na IQ zetu ili kulewa mambo mengi![]()
Niko shift ya usiku dogohapa unafanya kazi au unafuatilia umbea wa mshana, inawezekana kabisa hujui hata unachofanya.
Looh nasikia Manunu kaibukia kwa Wolper na kigauni cha pinkHahahahahaahhahaaa mbavu zanhu mie dah manunu kumbe kafa?
Itakuwa mvuvi huyo...Kuna MTU msibani Leo akawa anaropoka hizo habari wananchi wote tukamkimbia maana ni hatari na nusu
Mnamkimbia kwamba?Kuna MTU msibani Leo akawa anaropoka hizo habari wananchi wote tukamkimbia maana ni hatari na nusu
Mafichoni anafanya niniNajaribu kuwaza kwa sauti kwa haya yanayoendelea siku NAMBA MOJA akatoka mafichoni itakuwaje....
Kuna mabadiliko kwani 😳Ukweli kabisa sina raha moyoni.. Ntaweka wapi uso wangu mimi??
Huu kama unaroho nyepesi inapeperushwa na upepo.3 Ulimwengu wa mtandaoni