KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,757
- 86,398
Bata sikuzote hivyo ndivyo mlivyo..🤣Hata ukifikiria hivyo hayo ni matatizo yako sisi hayatuhusu hivi umetuelewaaa😛😛😛😛😛
Bata sikuzote hivyo ndivyo mlivyo..🤣Hata ukifikiria hivyo hayo ni matatizo yako sisi hayatuhusu hivi umetuelewaaa😛😛😛😛😛
Ntaa gani huo wakati sisi huku kwetu hiyo ndiyo habari ya n'jini, watu wanatamani kununua k-vant za laki 2 ila wanaogopa asije kufufuka?Bwn Mshana huku kitaani mambo yanaendelea kama kawa sisi tunachapa kazi tu. Ila ukiingia huku mitandaoni kwenu roho ndio inatetemeka
🤣🤣Sio vizuri mtu Kama wewe kuwa mdaku!
Mbona lile Kobe la kipanya nililiona limeanza kupepesa macho likiwa ndani ya jumba lake.



Chole Road MasakiNtaa gani huo wakati sisi huku kwetu hiyo ndiyo habari ya n'jini, watu wanatamani kununua k-vant za laki 2 ila wanaogopa asije kufufuka?
Kwani Yale macho yalikuwa yanachungulia nje au ndani?Mbona lile Kobe la kipanya nililiona limeanza kupepesa macho likiwa ndani ya jumba lake.
ndo kwanza nataka nikaanze kuchukua degree ya sheria ,hiki ulichoandika hapa nani atakuwa mwanasheria wako? 🤣 🤣 🤣 🤣R.i......
Ni nini kunijambia hivi jomonii 🏃🏃🏃😫Puuuu_![]()
Wewe wewee unadhani ni nani mwingine???😝😝😝ndo kwanza nataka nikaanze kuchukua degree ya sheria ,hiki ulichoandika hapa nani atakuwa mwanasheria wako? 🤣 🤣 🤣 🤣
Tunaweza kuchukua nafasi ya Marekani' kimchezo mchezo 😂😂😂Magufuli kiboko,anajua kuichezesha Tanzania vizuri hadi Dunia nayo bila kumuona Magufuli nayo inatulia,eti hadi Boko Haram wamesimamishwa mapambano nao wanamsikilizia Mzee Baba,huko US hata Baiden kasahaulika,macho na masikio ya Dunia kwa Sasa yako kwa Magufuli!! All eyes on Magufuli!!
Karma at its peakDar ni Alfa nao Mega,aliikashfu Dar,aliiua Dar refer to Biashara Kariakoo,bomoa bomoa,aliisengenya Dar,akaikimbia Dar,hatimae akarudi kuja kuivunja Dar kabisa(Jiji) lakini hapa Dar haukumuacha salama,ikamvunja yeye milele.