What do you mean?Who cares when the light goes off in a sky of a million stars?
Fasihi fasihini hii ni njia nzuri ya waungwana kupashana habari.Ule mwangwi wa kile kishindo haujajibu bado.. ili uwe mwangwi lazima kuwe na mshindo nyuma..
Huenda tuko kwenye autopilot huyu mama kaambiwa atuweke bize na uzinduzi
wake wa vilivyozinduliwa enzi za Mwinyi
[/QUOTE
I Like autopilot.planes fly better with it.
Mnapenda kujifaraji sana! Jifarijini, ndiyo hulka ya Mwanadamu kujifariji!!Kwamba tumeshamaliza kusoma ukurasa wa mwisho?
Siku hizi Tanzania ziko mbili, Tanzania ya kitaaani na Tanzania ya Mitaandaoni!! Ni wwe mwenyewe kuchagua unaitaka Tanzania ipi!!Bwn Mshana huku kitaani mambo yanaendelea kama kawa sisi tunachapa kazi tu. Ila ukiingia huku mitandaoni kwenu roho ndio inatetemeka
😂 😂 😂Yule Mama tutamsimanga mpaka aitishe Bunge la Katiba mpya
Dua la Kuku kwa Mwewe ni kicheko!!Binafsi nitafurahi sana nitakaposikia "hatunaye tena" kwa kuwa Mungu anasema "furahini kwa kila jambo"
Huwa nafurahi nikiona..TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIAkitoka huko mtachambwa mkome five mingine.Kesho anateua naiona barua ya msigwa
Magufuli kiboko,anajua kuichezesha Tanzania vizuri hadi Dunia nayo bila kumuona Magufuli nayo inatulia,eti hadi Boko Haram wamesimamishwa mapambano nao wanamsikilizia Mzee Baba,huko US hata Baiden kasahaulika,macho na masikio ya Dunia kwa Sasa yako kwa Magufuli!! All eyes on Magufuli!!Republic ya twita nayo kimya..nl.kwa hakika upepo umetulia
Wahuni tu mkuu, wakiongozwa lile huni la ubelgijiBwn Mshana huku kitaani mambo yanaendelea kama kawa sisi tunachapa kazi tu. Ila ukiingia huku mitandaoni kwenu roho ndio inatetemeka
Nadhani wanaenda kuyaosha mkuu 🙄 🙄
mbn sion kash kash wasindikizajiMkuu sio Tanzania tu, Ni ulimwengu mzima.Siku hizi Tanzania ziko mbili, Tanzania ya kitaaani na Tanzania ya Mitaandaoni!! Ni wwe mwenyewe kuchagua unaitaka Tanzania ipi!!
Bado maandalizi mkuumbn sion kash kash wasindikizaji