Kuna ugomvi wa chini chini India dhidi ya Tanzania?

Kuna ugomvi wa chini chini India dhidi ya Tanzania?

Mnunuzi mkubwa wa hii kitu, alikuwa MAnji.(I hope so)
Kibaya zaidi, tumem-frustrate. What do you expect.
We have decided to kill the sale, wacha tuisome namba.

Hakuwa manji, kwa Mashirika ya Tanzania Number 1 alikuwa Mo , lakini wote hao walikuwa mawakala wa Makampuni makubwa india.

Kuna makampuni ya India yaliyopo hapa NA mengine yana magodown Mtwara Arusha etc, hao ndio walikuwa wana control. Company nyingi za India walikuwa NA ushirikiano NA viongozi wa vyama vya Ushirika, haswa kwenye zao la Korosho
 
Endelkea kujiongopea!
 
Ndugu Zitto, Ukweli ni kwamba serekali ya India imefungia uingizaji wa Pulses kutoka njee kuwalinda wa kulima wao, baada ya bei ya mbaazi kuanguka India kutoka IR150/- to IR 45/-. Wakulima India wameshindwa kuuza mazao yao NA wengi wamejiua kwa sababu ya hasara NA maneno.

If you goggle TUR DAAL scandal in INDIA utapata majibu mengi sana. Wafanyi biashara wa India kabla ya kuja TZ kwanza wananunua mazao hayo Myanmar, Vietnam NA nchi karibia NA kwao than they come to Africa.

Hii site hapo chini itakuonyesha wakulima katika jimbo la Maharashtra wanavyoteseka NA zao la mbaazi:
Maharashtra wants farmers hit by falling tur dal prices to mortgage the crops | cities | Hindustan Times

2015 bei ya mbaazi ilipanda sana kwani kulikuwa NA mchezo uliofanywa NA cartels in India to manipulate the prices of Mbaazi, hili lilisababisha serekali katoa stock yao NA kiingiza sokoni kuangusha bei. Soma hapa chini;

The great Indian Dal scam revealed

Kuna mambo mengine hayahitaji siasa na kuabishana pasipo NA ukweli.
Msomi Zito kashindwa kupata data hizi ktk njia zake na usomi wake, kweli Jf ni zaidi ya u PhD. Bravoo wana Jf.
 
Mbaazi, dengu, ufuta, soya, giligilani, tangawizi, na mazao mengi yaliporomoka kutokana na hizo sababu nilizotaja na kama kuna mkulima anampenda na kumshabikia magufuli hapana sijui atakua wa wapi.
Yanakolimwa hayo mazao ndo wamevalia khanga na tshirt za kidumu hivyo wape somo huko huko.
 
Nyie ndugu zetu hamueleweki, kikwete alipokuwa anatembea kuijenga nchi mlimsema NA kumtusi, huyu kagoma kusafiri mnamsema.

Siku akianza safari pia mtamsema. Hakuna Jema kwenu, TANZANIA HAINA SHIDA YA ADUI WA NJEE, TUNAO MAADUI WA NCHI HUMU HUMU NYUMBANI.

Hi ni laana kubwa sana
Inafikia wakati unashindwa hata kuelewa, kwamba wabezi wa Jk na Jpm wangewezaje kuwa walewale kwa hoja zisizofungamana?
 
Kuna jambo linafichwa hapa juu ya masoko ya haya mazao maana yameanza kulalamikiwa kwa muda mrefu sasa.
Bila kupepesa macho shida ipo tena kubwa
Muuzaji mkubwa wa mazao hayo India alikuwa ni Yusuph M Manji kilichotea kati yake na serikali ya awamu hii kila mtu anajua hata kuachiwa kwake kwenye kesi alizopewa ni shinikizo la India yupo mapumzikoni canada akirejea wakimpeti peti labda anaweza pandisha bei
 
Mimi nadhani tungetoa suluhisho, si vyema kuwa ama kujenga uchumi tegemezi. Siasa isingeweza kuharibu soko la mbaazi kama hitaji lake lingekuwepo India. Tanzania haina na sidhani kama litakuwa taifa la kuwekeana uadui na India.

Mi nashauri tulijenge zaidi soko la ndani, wenye uwezo wajenge viwanda mazao hayo yawe processed ndani kuyaongezea thamani na uhitaji wake kwa wananchi watz. Vinginevyo tutafute mazao mbadala. Kanda ya ziwa, mwaka huu wamelima sana pamba baada ya kuachana na mikunde.
 
Kwanza maajenti wakubwa wa makampuni ya India yanayonunua haya mazao ni hawa wafanyabiashara wetu hapa Bongo kama kina Manji, Mo and the likes. Kitendo cha kuwa destabilize wao, kunawafanya kutopromiti effectively hayo mazao India kwa wateja wao. Kumbuka Marketing in the competitive world is a continue issue. WAMESUSA.

Pili. Serikali kuingilia ingilia biashara na kufikiri kuongea na serikali ya India ndo kutafanya hao wafanyabiashara wanunue. NOPE!!! Mahusiano ni kati ya biashara na biashara. Serikali ya India haina kiwanda wala duka.

Sisi wa alizeti, hata mashudu hayaendi tena India.Halaf diplomasia inainua biashara sana. Tena kwa impact kubwa. Mkuu wa nchi anapotoka yeye mwenyewe kwenda kwa mkuu wa nchi nyingine kuyajenga inashawishi kiheshima zaidi kuliko kutuma tuma watu walio chini yake. JUST THINKING LOUD!!
Mimi nilikuwa najiuliza sana kipindi kile Manji anasumbuliwa na JPM. watu walikuwa wanashabikia, nikajiuliza, hawa watu wanapata nini cha ziada, bei ya sukari inashuka kama manji akisoteshwa? hayo yote yalifanywa bila kujali Manji ni nani hasa na ana nini. sasa ndio tunaona majibu kweupe. sikushangaa serikali ilipofuta ghafla kesi zote dhidi ya Manji. naona walishaona Tsunami linakuja wakajihami. lakini ilikuwa too late. siasa za ubabe za JPM zitaendelea kuwatafuna watanzania kwa miaka mingi ijayo. Hata baada ya JPM mwenyewe kuondoka madarakani, vumbi lake litaendelea kuwatia watanzania wengi magonjwa ya kikohozi, pumu, dondakoo na Kifaduro. Twafwa.

Dawa pekee? JPM aende Kanisani kwa Kakobe akaongozwe sala ya TOBA.
 
Indeed bro kuna watu wameshikilia uchumi wa nchi sio hapa tu hata huko duniani kuna watu ni untouchable sio ubabe kwa kila kitu
 
A

Ana udoctor gani. Hivi ni vitu vya kawaida kila mtu ambaye hata hajasoma angeviona. Kwani hujui kuwa wahindi au india ndo ilikuwa namba moja duniani kuuza tanzanite wakati ni ya kwetu. Sasa kitendo cha jpm kuzungushia ukuta tanzanite yote isiibiwe tena au isiuzwe kimagendo huoni kama wahindi wamechanganyikiwa ns india kwa ujumla uchumi wake unaweza poromoka. Hili ni swala la mda tu na jpm amefanya la maana kwa maslahi mapana ya taifa. Acha akina zitto wabwabwaje mana hawana kiki tena siku hizi kama walivyotuaminisha zamani kwamba ni watetezi kumbe wezi tu
....Hivi ikiwa watu wanazama shimoni na kutoboa ndani kwa ndani mpaka shimo lingine ni nini kitawazuia kwenye huo ukuta kupiga underground to the other side? Hata ukuta mzima uzungukwe na police rushwa imeenda likizo?
 
Hujui kitu kuhusu hyo biashara mjomba,..bora utulie tu,..hii hali ya kuporomoka masoko ni toka mwaka jana,huu ni msim wa pili unaenda wa3 hal ni mbaya,kina manj na mo wamesusa
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom