Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,253
Hehehe kweli ukiwa na akili za kutumwa na kimasikini utateseka sana yaani kwa namna ulivyowaelezea ni kama wao ndio miungu yako, shabhani naona kuberi za kihindi umezielewa kupita maelezo sababu sio kwa kujibebisha hukoIndia ni nchi muhimu sana,
na ndipo soko lilipo hasa ,kama watu vichwa ngumu na arrogant kama Netanyao wanaenda india na kukaa wiki wakiunganisha deal za biashara,
kina Rohani wanapishana kwenda india kuingia makubaliano ya kibiashara,
putin mbele ya mhindi ananyenyekea ili auze ndege zake,
hata marekani akifika kwa mhindi kiburi anaweka pembeni ili aivute india kwenye kambi lake,
itakuwa sisi ambao uchumi wetu wameshikilia hawa wahindi?.
Hawa watu wanaushirikiano sana,na haijalishi huyo mhindi kazaliwa mpanda ama uyole,maadamu ni mhindi,wao wanahesabu ni mtu wao tu
Kwanza hata unatakiwa ujisikie aibu kwa mgeni tena kutoka kwenye nchi masikini kama India kukutawala kiuchumi wakati fursa zimekuzunguka