bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 677
Umecomment kwa mbwembwe lakini nina wasiwasi na wewe kama una uelewa wowote kwenye masuala ya uchumi. Yaani kwa akili yako unategemea uchumi wa india kushuka sababu ya kuzungusha uzio kwenye mgodi wa Tanzanite? Yaani unamaanisha India isipouza hiyo Tanzanite ndiyo uchumi wao ushuke?A
Ana udoctor gani. Hivi ni vitu vya kawaida kila mtu ambaye hata hajasoma angeviona. Kwani hujui kuwa wahindi au india ndo ilikuwa namba moja duniani kuuza tanzanite wakati ni ya kwetu. Sasa kitendo cha jpm kuzungushia ukuta tanzanite yote isiibiwe tena au isiuzwe kimagendo huoni kama wahindi wamechanganyikiwa ns india kwa ujumla uchumi wake unaweza poromoka. Hili ni swala la mda tu na jpm amefanya la maana kwa maslahi mapana ya taifa. Acha akina zitto wabwabwaje mana hawana kiki tena siku hizi kama walivyotuaminisha zamani kwamba ni watetezi kumbe wezi tu
Mkuu uwe unafikiri kwa kina kabla ya kuandika upupu