huwezi kushindana na tajiri hata siku moja na ndio maana tra wanakimbizana na wauza nyanya amini biashara zinaenda kua mbovu kuliko kawaidaAmebana Tanzanite wenzake wame fix bei export!! Huyu hata hajielewi!
huwezi kushindana na tajiri hata siku moja na ndio maana tra wanakimbizana na wauza nyanya amini biashara zinaenda kua mbovu kuliko kawaidaAmebana Tanzanite wenzake wame fix bei export!! Huyu hata hajielewi!
Balaa ndio hilo hilo linazofanya hizo route dar mwz chtYeye ni Dar-Mwanza-Chatto au akijitahidi sana ni Dar-Kampala- Chatto..
Tanzania sijui imekumbwa na balaa gani Mungu wangu.
Si walisema kwamba India wamelima kwa wingi hayo mazao wana surplus ya kutosha wakipata deficit ndio wataruhusu kutoka nje.Kuna jambo linafichwa hapa juu ya masoko ya haya mazao maana yameanza kulalamikiwa kwa muda mrefu sasa.
Waziri wa Kilimo alishatoa agizo mbaazi itumike mashuleni, magereza na hospitalini ili kukidhi solo la ndani. Kwa mantiki hiyo mahitaji ya ndani kwa mazao hayo ni makubwa kuliko kufikiria kupeleka nje ya nchi! Hahahahaha, watawala bana, shida sana.Hapana mi naona tunataka kuchakata wenyewe viwanda vipo soon tutanunua wenyewe tuwe wazaa lendo
Ana udoctor gani. Hivi ni vitu vya kawaida kila mtu ambaye hata hajasoma angeviona. Kwani hujui kuwa wahindi au india ndo ilikuwa namba moja duniani kuuza tanzanite wakati ni ya kwetu. Sasa kitendo cha jpm kuzungushia ukuta tanzanite yote isiibiwe tena au isiuzwe kimagendo huoni kama wahindi wamechanganyikiwa ns india kwa ujumla uchumi wake unaweza poromoka. Hili ni swala la mda tu na jpm amefanya la maana kwa maslahi mapana ya taifa. Acha akina zitto wabwabwaje mana hawana kiki tena siku hizi kama walivyotuaminisha zamani kwamba ni watetezi kumbe wezi tuZitto, Doctor Of Economy
Hi nchi ni Donor country....mbaazi dengu giligilani nini tuna rasilimali za kutosha kila aina ya madini yako hapa tunauwezo wa kutoa misaada kwa nchi za wazungu....wanau tuangusha ni wapiga diili sasa tumewadhibiti tunaanza kazi sasa.....wait mtaonaMbaazi, dengu, ufuta, soya, giligilani, tangawizi, na mazao mengi yaliporomoka kutokana na hizo sababu nilizotaja na kama kuna mkulima anampenda na kumshabikia magufuli hapana sijui atakua wa wapi.
Siyo kwa makusudi bali uwezo wake wa kufikiri na kutenda umefika kikomoRais Magufuli ameua uchumi kwa makusudi.
Hujui kitu kuhusu hyo biashara mjomba,..bora utulie tu,..hii hali ya kuporomoka masoko ni toka mwaka jana,huu ni msim wa pili unaenda wa3 hal ni mbaya,kina manj na mo wamesusaNasikia Wahindi hununua kwa msimu na sasa hivi siyo msimu wake
Duh uchumi wa India unaweza kuanguka kwasababu ya tanzanite ya tz you are too layman......I doubt kama anajua hata kuchora "demand curve" hujui chochote zaidi ya kusoma na kuadika kiswahili.....Usimbeze Zitto ni guinius katika analysis za uchumi.A
Ana udoctor gani. Hivi ni vitu vya kawaida kila mtu ambaye hata hajasoma angeviona. Kwani hujui kuwa wahindi au india ndo ilikuwa namba moja duniani kuuza tanzanite wakati ni ya kwetu. Sasa kitendo cha jpm kuzungushia ukuta tanzanite yote isiibiwe tena au isiuzwe kimagendo huoni kama wahindi wamechanganyikiwa ns india kwa ujumla uchumi wake unaweza poromoka. Hili ni swala la mda tu na jpm amefanya la maana kwa maslahi mapana ya taifa. Acha akina zitto wabwabwaje mana hawana kiki tena siku hizi kama walivyotuaminisha zamani kwamba ni watetezi kumbe wezi tu
Makusudi yapi labda?Rais Magufuli ameua uchumi kwa makusudi.
Demokrasia = diplomasia?effect ya manji kua harrassed na akina mo wakasusa kununua, mkumbuke yule mkandaras wa india rais alimnyang'anya passport kule mtwara bila kutumia demokrasia hayo ndio malipo india imetulipa.
rais wako demokrasia na diplomasia vyote hajui.Demokrasia = diplomasia?
We uchumi wako ni demand na supply tu. Wengine tuko kwenye level ya langrangian multiplier au game theories we unasema eti zitto anajua uchumi, uchumi upi. We mwenyewe kilaza. Soma input output matrix/model ndo utajua one sectoral model inaweza kusababisha leakage na kufail zingineDuh uchumi wa India unaweza kuanguka kwasababu ya tanzanite ya tz you are too layman......I doubt kama anajua hata kuchora "demand curve" hujui chochote zaidi ya kusoma na kuadika kiswahili.....Usimbeze Zitto ni guinius katika analysis za uchumi.