Kwa hiyo unafurahia wizi ili uendelee kuusuuza moyo na upinzani uendelee mana mtakuwa na cha kusema. Ama kweli upinzani tanzania ni jangasasa unafikiri tanzanite itaacha kuibwa sababu imezungushwa ukuta??mambo mengine bwana
Wajanja sana wanaangusha bei ili wapate faida. Muhindi MTU nuksi sana na ndio aliangusha utawala wa South Africa chini ya Jackob ZumaHakuna watu wa hovyo kama wahindi, wezi na waongo vibaya sana na dharau juu, hebu hayo makontena yao yawe yanafunguliwa bandarini muone kuna nini ndani tena wafunguaji wawe waaminifu hasa ndio mtawajua
Manji ni Mtanzania, lakini inasemekena anamiliki uraia wa nchi kadhaa tofauti na TanzaniaKwani Manji ni Muhindi au ni Mtanzania Muhindi ?
We utakuwa huna akili kabisaa. Kwanu india ilidondoshewa utajili na mungu halafu sisi mungu akatunyima? Jpm anachofanya ni kulinyanyua taifa kiuchumi ndo maana mipango mojawapo ni kuprotct rasilimali ziliendelee kuibiwa na hawa wahindi. Nani kakwambia ukiwa na milioni ukapewa lakibutaikataa kwa vile una milioni. Kwanini india isiyumbe kidogo kwa sababu moja ya sources of funds imezibwa!! Hata india ilianza kukua taratibu siyo ghafla bin vuu. Jpm anakwenda vizuri ila kwa nyie wezi na vibaraka wa wahindi wakiiba mnafaidika lazima muumie na vyuma vitakaza kwelikweli. Kule bundyahru ilikuwa wizi tu na watu kufunikwa ni vifusi na kufia humo kana kwamba serikali haipo. Leo hii kwa jpm wanakufa wawili watatu inakuwa gumzo. Unajua jk kaua wangapi migodini kimyakimya na hajali kabisa ilimradi nyie maswahiba wake mnafaidika?Duh! Hehehe We Jamaa Utakuwa Huna Hata Data Kabsa, Yani Taifa Kubwa Kama India Uchumi Wao Utegemee Tanzanite Tangu Lini Kaka
Taifa Lenye Mipango Madhubuti, Taifa Lenye Mikakati Ya Maana Mpaka China Analihofia Eti Useme Linategemea Malighafi Ya Tanzania Ili Likue.
Ni Kama Useme China Wanategemea Gesi Yetu Bila Sisi Uchumi Wao Utayumba
Nenda Kwenye Rank Zenye Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Angalia India Iko Wapi Alafu Angalia Tanzania Iko Wapi
Alafu Angalia Uchumi Wao Walifanyaje Ukafika Hapo Ulipo, Angalia Uchumi Wao Unarely Kwenye Nini.
Labda Akili Yako Itafunguka Kidogo.
Ukiona Wameandika Unarely Kwenye Tanzanite ya Tanzania Na Sasa Umejengwa Ukuta Mererani Uchumi Wao Umeporomoka Na Utakufa Njoo Nikate Kichwa.
Au Uliona Wa Kwako Hajasifiwa Humu Ukaamua Uandike Hata Vitu Usivyovielewa.
Ungemsifia Tu Kwa Namna Nyingine Sio Kuandika Vitu Usivyovijua.
Zitto, Kiongozi Mwenye Hekima Na Daktari Wa Uchumi Wa Tz, Siku 1 Utamsimulia Kwa Wajukuu Zako
Wamebaki wanatuimbia tu korosho kana kwamba nchi yote hii ni wakulima wa korosho...na hivi karibuni nilikuwa Singida eti kila Mkuu wa Wilaya ameotesha mikorosho kibao na wananchi wanalazimishwa kupanda mikorosho ili waondokane na umaskini eti!Kuna nini Tanzania na India
Kwenye ziara tunayotembelea madiwani wetu wa ACT Wazalendo kuna jambo nimeliona linajitokeza mahala pengi kila ninapoongea na Wananchi. Jambo hilo ni kushuka kwa bei za mazao ambayo Wakulima walikuwa wanategemea soko la India. Mbaazi, Choroko, Dengu na giligilani ni baadhi ya mazao ambayo nimesikia malalamiko makubwa ya bei zake.
Jana nilipokuwa Sumbugu, Misungwi Wananchi walinieleza kuwa mwaka 2016 waliuza choroko kwa shilingi 300,000 kwa gunia Lakini bei hiyo ilishuka mpaka shilingi 150,000 na kwamba wanunuzi wamepungua mno. Vile vile Dengu imeshuka sana bei kutoka shilingi 7000 kwa kilo 4 hadi kufikia shilingi 2500.
Nilipokuwa Gehandu, Hanang nilielezwa kuwa bei ya giligilani imeshuka kutoka shilingi 150,000 kwa gunia mpaka shilingi 25,000 tu.
Chama chetu kilifanya utafiti wa zao la mbaazi kwa mikoa ya kusini mwaka Jana. Kadhia ya mbaazi tumeikuta pia Mkuranga, Morogoro na Mkoa wa Manyara. Bei imeshuka kutoka wastani wa shilingi 1500 kwa kilo mpaka shilingi 50 kwa kilo na maeneo mengine hakuna soko kabisa.
Swali
Mazao yote haya yaliuzwa India. Kwanini Bei zimeshuka na masoko kuanguka kabisa wakati mahitaji ya bidhaa hizi huko india yanakua mwaka hadi mwaka? Kuna nini kati ya Tanzania na India? Kuna nini Wakulima na Watanzania hawaelezwi?
Uchumi ni sectors. The more the economic sectors the more and healthy economy. If one sector is withdrawn or doesnt funcrtion properly the economy will jeopardise. So the handsome economy is a function of more generating sectors.Fanya hivi tuonyeshe jinsi uchumi wa tzn unapo weza kuangusha uchumi wa India kama ulivo sema sio kusema matrix model bila kuifafanua.
Eti mambo madogo? Hizi akili zenu mlizaliwa nazo au mmepachika? Iko siku wananchi watatoka ndani na ndipo mtajua nini maana ya wananchiNi mambo madogo tu yakidiplomasia
Bila shaka Serikali itayamaliza kabla ya Msimu ujayo
Wewe Na Musiba Hamna TofautiWe utakuwa huna akili kabisaa. Kwanu india ilidondoshewa utajili na mungu halafu sisi mungu akatunyima? Jpm anachofanya ni kulinyanyua taifa kiuchumi ndo maana mipango mojawapo ni kuprotct rasilimali ziliendelee kuibiwa na hawa wahindi. Nani kakwambia ukiwa na milioni ukapewa lakibutaikataa kwa vile una milioni. Kwanini india isiyumbe kidogo kwa sababu moja ya sources of funds imezibwa!! Hata india ilianza kukua taratibu siyo ghafla bin vuu. Jpm anakwenda vizuri ila kwa nyie wezi na vibaraka wa wahindi wakiiba mnafaidika lazima muumie na vyuma vitakaza kwelikweli. Kule bundyahru ilikuwa wizi tu na watu kufunikwa ni vifusi na kufia humo kana kwamba serikali haipo. Leo hii kwa jpm wanakufa wawili watatu inakuwa gumzo. Unajua jk kaua wangapi migodini kimyakimya na hajali kabisa ilimradi nyie maswahiba wake mnafaidika?
Wataalamu hawapewi nafasi ndiyo matokeoTatizo wahusika wanapenda kufanya mambo kwa mazowea badala ya kutumia critical thinking.
Wewe kila unapotembelea unaelezwa tu...wewe unaelezwa kama nani! wasiwasi wangu wewe utakuwa ni Nape Nauye.Kuna nini Tanzania na India