Kuna Ubaya Wowote?..

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa

Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.

Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?

Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!
 
Utapata returns nzuri sana ukimpa mwanaume nafasi yake.
Wishes za wanaume wote wa Kibantu ni kutambuliwa nafasi yao ya kibesi wa nyumba..huh!

Hahahahahahah,

Kaka umesahau hawa wabantu wanavyozitumia vizuri hizo nafasi.....Unahemea kwa Asha na kulia kwa Mwajuma!!!

Babu DC!!
 
Aksante Kaka kuna return zaidi ya kupendwa na kuenziwa? Kama hakuna why inakuwa ngumu kwa mwanamke kufanya haya? Hivi kuna mwanamke asopenda kupendwa na kuenziwa??
 
Naweza kukuhakikishia kwamba return on investment siyo nzuri kihivyo...Chance ya kupata hayo ni <50%

Babu DC!!
 
Mhhhh,
Mzima lakini wewe?
Kama hutajali hata ukifanywa msukule basi mpe kila kitu...Hata cheque books and ATM cards zote mupe tu dada yangu!!

Kipenda roho ....!!
Babu DC!!

Haha Babu, mie mzima kama kigongo!.

Ah Babu kwani nikitoa ATM na Checque kwa mtu ambaye ananienzi, ananifikisha kunako ananithamini na kunipenda kuna madhara gani?? Tu-assume anakupenda kweli??

Kwa mapenzi hakuna hidden agenda bana......eti nakupenda laaziz nakenua macho kumbe nikikupa mgongo unaona bado
 
Hahahahahahah,

Kaka umesahau hawa wabantu wanavyozitumia vizuri hizo nafasi.....Unahemea kwa Asha na kulia kwa Mwajuma!!!
Babu DC!!
Well, kama hiyo ndiyo nafasi inayotegemewa na kuhitajika kwenye mahusiano, mpe tu,...nia ya huyo Mbantu si ni kwamba afurahie mahusiano kwa kuwa na wewe(bila kubughudhiwa)?
 
Haha Babu, mie mzima kama kigongo!.

Ah Babu kwani nikitoa ATM na Checque kwa mtu ambaye ananienzi, ananifikisha kunako ananithamini na kunipenda kuna madhara gani?? Tu-assume anakupenda kweli??

Kwa mapenzi hakuna hidden agenda bana......eti nakupenda laaziz nakenua macho kumpe nikikupa mgono unaona bado

Wakati huo wewe utakuwa na access na kila kitu chake au unakuwa chuma ulete??

Babu DC!!
 
Naweza kukuhakikishia kwamba return on investment siyo nzuri kihivyo...Chance ya kupata hayo ni <50%

Babu DC!!
I think return za kwenye mapenzi ziko ki-perception zaidi kuliko facts hivyo naweza kudhani kwamba i am honoring your love tokens only to find out that those tokens make no sense to you

But as you and MJ1 rightly indicated, kumpa mpenzi nafasi yake kwenye love is more important that waiting for return oninvestimeny, at least in a love environment
 
Wapendwa

Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.

Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?

Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!
nilisha sema, ninarudia kusema, ANA HERI MWANAUME ALIYE/ATAKAYE MUOA MWANA JAMII.
 
funny thing bout women is thy don change,Mungu alipanga mwanaume awe kichwa na alikuwa na maana yake.she wil make a fool out of u,kama sio kwa majirani zako basi kwa ndugu zako.usimtawale kama dictator,give her love give her everything but mwisho wa siku let her know wewe ndo kichwa.waulize hao wanawake wenye power,money etc wanapowekwa kwenye kifua cha mwanaume how do thy feel?wote watakuambia like a bby na wanafeel safe sana.usikwepe majukumu,be the head.
 
Wapendwa

Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.

Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?

Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!

hakuna ubaya kutekeleza matakwa ya Mwenyezi Mungu......soma Genesis 3:16...............na uhusiano wako na mtu wako utaimarika sana....................lakini utakapoanza kujitutumua utaonja joto la jiwe................Enjoy life mwanajamiione for it is too short to be squandered.............
 
Wapendwa

Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.

Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?

Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!

Hujachanganyikiwa wala nini na Hakuna Ubaya wowote wa Mwanamke kutambua Nafasi ya Mwanamme ndani ya Nyumba ( Kulingana na Mazingira i.e Kiafrika ama Kizungu ama Kihind n.k). Vile vile Mwanamke ana Nafasi yake katika Nyumba ambayo wanaume wanapaswa kuifahamu. Kwa Hiyo Fahamu Nafasi ya Mwandani wako katika Nyumba na Umtendee Haki.

Narudia tena Hakuna Ubaya wowote
 
Hata mimi nataka kujaribu hiyo kitu.

Sema sasa it only pays if that fellow is a real man, kama ni mwanaune suruali au "A boy in a grown man pants"(As I call them) kinda man imekula kwako maana he'll not treat you as a lady, he'll not respect you na hatokua responsible. Mwisho wake ndo kuanza kulalama anakuonea, anakutumia, hakupendi, hakujali, anakunyanyasa n.k

Hivyo kabla ya kumpa usukani hakikisha kua ni dereva anaeielewa vizuri hiyo taaluma, usije ukaishia kuendeshwa kama bajaj za Dasilama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom