Kuna Ubaya Wowote?..

....ahh, kaka umeadimika. Ni Kwaresma ama?
Welcome back.


Hahahahaha lol!....Ahsante Kaka...hapana si kwaresma Kaka nilikuwa nazitega pesa :):)...si unajua mtaka cha uvunguni?....Pindua tanda taona :):)....Nashukuru sana Mkuu kwa ukaribisho....Natumai uwapendao wote wamesalimika kabisa. Kila la heri Mkuu, ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom