Men are from Mars and will always be.
Nilisikia unatoka Pluto, kuna tofauti yeyote na wa Mars?
Men are from Mars and will always be.
Men are from Mars, boys are from Pluto.
Women are from Venus, girls are from Neptune.
And there is no harm to recognize this and give its respect and adjust accordingly eh!
EMT the last time i checked Pluto is not even in the category anymore
nafikiri imefutwa haipo kwenye orodha ya sayari
dont be so hard to those boys lol
Kila mwanamke ana definition yake ya mwanamme kulingana na matarajio yake kwa mumewe/mwenza.
Kama mtu anakidhi vipimo vya kwa tafsiri yangu ya mwanamme, anapewa usukani freely.
Ila kwa tafsiri yangu ya mzee mvulana hawezi pewa usukani hata awe na miaka 100.
Kila mtu ana standard yake ya mwanamme.
Loh tatizo unadefine kichwa cha nyumba kama unavyoisoma jamani! Hivi unaposema she's my queen au he is my king tunamaanishaga nini?Hapa mbona nina wasi wasi kuwa mtu atakuwa anapendwa kwa 'kuwa kichwa cha nyumba' tu basi...and the subsequent responsibilities ya kuwa 'kichwa cha nyumba si tunazijua wajameni?
Mi sitaki namna hiyo asilani:shock:
naHata mimi nataka kujaribu hiyo kitu.
Sema sasa it only pays if that fellow is a real man, kama ni mwanaune suruali au "A boy in a grown man pants"(As I call them) kinda man imekula kwako maana he'll not treat you as a lady, he'll not respect you na hatokua responsible. Mwisho wake ndo kuanza kulalama anakuonea, anakutumia, hakupendi, hakujali, anakunyanyasa n.k
Hivyo kabla ya kumpa usukani hakikisha kua ni dereva anaeielewa vizuri hiyo taaluma, usije ukaishia kuendeshwa kama bajaj za Dasilama.
Kichwa cha nyumba ni msemo uliopitwa na wakati...!
sio kichwa tu huyo ndo mwanaumeasante sana....cku hizi wanawake wengi ndio vichwa vya nyumba, sasa kama nasomesha, nalisha, etc uyo mvaa suruali nae ataitwa kichwa cha nyumba just b'coz ni mwanaume?.....au na define vibaya hiyo "kichwa cha nyumba?...mie kwangu kichwa cha nyumba ni mwanaume anaejua wajibu wake, kuanzia kwa mke/watoto wake etc....
Men are from Mars, boys are from Pluto.
Women are from Venus, girls are from Neptune.
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?
He he he he dearest....tuna changamoto kubwa sana wakati huu, uwajibikaji wa wanaume umepungua ndo maana usukani na taaluma hiyo inaendeshwa na wanawake kwenye baadhi ya ndoa.
nikuulize Lizzy,kila siku mnatusema eti kuna wanaume na kuna wavulana,to put it your way unawaita wavulana wanaovaa suruali za wakubwa,sawa ni haki yenu kutusema maana jf hailipiwi Luku,lakini by the same token ina maana kuna wanawake na wasichana (wanaovaa magauni ya wanawake)? kama jibu ni ndio,nini sifa ya kuwa 'mwanamke' na kuwa 'msichana anayevaa gauni'?Hata mimi nataka kujaribu hiyo kitu.
Sema sasa it only pays if that fellow is a real man, kama ni mwanaune suruali au "A boy in a grown man pants"(As I call them) kinda man imekula kwako maana he'll not treat you as a lady, he'll not respect you na hatokua responsible. Mwisho wake ndo kuanza kulalama anakuonea, anakutumia, hakupendi, hakujali, anakunyanyasa n.k
Hivyo kabla ya kumpa usukani hakikisha kua ni dereva anaeielewa vizuri hiyo taaluma, usije ukaishia kuendeshwa kama bajaj za Dasilama.
Mbona mie nimetokea Zebaki?
Am finished!